Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Ganka Nyamsogoro, akitoa hotuba ya kumshukuru mgeni rasmi.
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani).
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mdahalo huo.
Meza Kuu.
Washiriki wa mdahalo huo.
Washiriki.
Jonas Mkuna, akitoa mada.
Prof. Justin Kalisti Urassa, akitoa mada juu ya sera ya viwanda katika Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati wa
mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa
mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoa mada wa
mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.