MENDE MILIONI 1 WATOROKA
Imeripotiwa kuwa mende zaidi ya milioni moja wametoroka kutoka kwa shamba walimokuwa wakifugwa nchini China ili kuweza kutumika kwa dawa za kienyeji.Mende hao walitoroka katika shamba eneo la Dafeng,...
View ArticleKENYA BALAA:NDOA YA WATU 3, MKE NI MMOJA WANAUME WAWILI
Wanaume wawili Wakenya wamesaini makubaliano ya kumoa mwanamke mmoja, imeripotiwa. Mwanamke huyo amekuwa na mahusiano na wanaume hao wawili kwa kipindi kisichopungua miaka mine na kukataa kuchagua...
View ArticleUGONJWA WA KUDUMAA WAMTESA MTOTO WA MIAKA 14 AONEKANE MZEE WA MIAKA 110
MTOTO wa miaka 14 anasumbuliwa na ugonjwa wa kuduma 'progeria', hali inayopelekea mwili wake kuonekana kama mzee wa miaka 110. Mtoto huyo aliyetambulika kwa jina la Ali Hussain, anayeishi nchini India...
View ArticleFAT JOE AANZA KUTUMIKIA KIFUNGO
Rapper Fat Joe ameanza kutumikia kifungo chake cha miezi minne alichohukumiwa baada ya kukutwa na hatia ya kushindwa kulipa kodi. Joe aliamua kuwaaga mashabiki wake kwa kutumia ukurasa wake wa Twitter,...
View ArticleWAKAZI WA MIVINJENI WASHINIKIZA SERIKALI KUWALIPA HUNDI ZAO
WAKAZI wa Mivinjeni Kurasini wanaotakiwa kuhama kupisha mradi wa uwekezaji wa EPZ wamefunga barabara kuishinikiza Serikali kuwalipa hundi zao na si viwanja.Hali hiyo ilijitokeza jana Dar es Salaam...
View ArticleMASKINI AUNTY EZEKIEL, ALA KICHAPO AKIJIRUSHA
Msanii wa filamu za Bongo, maarufu kama Aunt Ezekiel amepigwa na kuumizwa katika mkono wake wa kushoto alipokuwa Club Bilicanas katika utambulisho wa wasanii wa Bongo Fleva waliokuwa wakitambulishwa na...
View ArticlePOLENI WALA SAMAKI JIJINI DAR ES SALAAM
Mgahawa wa Samaki Samaki wateketea na moto mkubwa, angalia pichani chini. Mgahawa huo uliokuwepo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, umeteketa kabisa. Matukio inawapa pole wamiliki wa mgahawa huo na pia...
View ArticleSAKATA LA SILAHA ZA SUMU, SYRIA KUSHAMBULIWA
Wasiwasi wa muungano wa mataifa ya Magharibi kuishambulia Syria umenukia, kufuatia Marekani, Uingereza na Ufaransa kusema kuwa itatoa adhabu kwa taifa hilo la kiarabu kwa kutumia silaha za kemikali...
View ArticleARSENAL YAFANYA KWELI
Aaron Ramsey alifunga mabao mawili na kuipa klabu yake Arsenal ushindi wa wazi bila upinzani mkali dhidi ya Fenerbahce ya Uturuki.Katika mechi iliyochezwa hapo jana kwenye uwanja wa Emirates, Arsenal...
View ArticleMDINGI JELA KWA CHABO, ALIJIFICHA KWENYE SHIMO LA MAJITAKA
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 52 amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na faini ya takribani shilingi milioni 8 (karibu sawa na dola za kimarekani 5000) baada ya kupatikana na kosa la kupiga chabo....
View ArticleMSHINDI WA AIRTEL YATOSHA
Mmoja wa wafanyakazi wa Airtel, Jackline Kaaya akikabidhi shilingi milioni moja kwa mshindi, Michael Joseph mkazi wa Mwanza, baada ya kushinda katika shindano la Airtel linalojulikana kama 'Airtel...
View ArticleWASHIRIKI RED'S MISS TANZANIA WAKIWA KAMBINI
Washiriki wa shindano la kumtafuta Red's miss Tanzania wakiwa katika pozi la pamoja na wadhamini washindano hilo pamoja na uongozi Giraf Hotely jijini Dar es Salaam ikiwa katika maadhimisho ya siku ya...
View ArticleWATOTO WANANYANYASWA MIGODINI
Maelfu ya watoto wanaofanya kazi katika machimbo ya madini nchini Tanzania wanakabiliwa na tishio kubwa la kupata magonjwa na hatimaye kufa.Shirika la kutetea haki za kibinadam la Human Rights Watch,...
View ArticleKOCHA WA NIGERIA APATA KASHFA
Shirikisho la mchezo wa soka duniani FIFA, limethibitisha kuwa limepokea malalamishi kutoka kwa shirikisho la mchezo wa soka nchini Malawi FAM, kuhusiana na matamshi yaliyotolewa na kocha wa Nigeria,...
View ArticleURUSI YAPINGA UVAMIZI SYRIA
Marekani imeachana na jitihada za kutafuta uungwaji mkono wa baraza la usalama la umoja wa mataifa kuichukulia hatua Syria kwa utumiaji silaha za kemikali.Hii ni kufuatia kukataa Urusi kwa rasimu ya...
View ArticleZAIDI YA WATU 40 WAFARIKI KWENYE AJALI KENYA
Takriban watu 41 wanadaiwa kuuawa baada ya basi moja la abiria lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea Homabay Magharibi mwa Kenya kuanguka na kubingirikia mara kadhaa katika eneo la Narok.Polisi...
View ArticleRED CARPET ILIVYOKUWA UZINDUZI FILAMU FOOLISH AGE
Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka Mdau wa bongo movi Msanii anayeshirikishwa katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva Msanii wa filamu Wolpa Msanii wa filamu Wema SepetuMsanii wa filamu...
View ArticleBAADHI YA WASANII WALIOHUDHURIA UZINDUZI
Shilole naye alikuwepo Monalisa akiwa na mama yake katika uzinduzi huo Baadhi ya wasanii wakongwe nao walihudhuria uzinduzi huo Msanii JB pamoja na Ray wakifwatiria kwa makini matukio yaliyokuwa...
View ArticleWEMA AMLIZA MAMA KANUMBA
MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu amtoa machozi mama Kanumba Bi. Flora Mtegoa a.k.a mkwe wake pindi walipokutana katika uzinduzi wa filamu ya Elizabeth Michael iliyopewa jina la Foolish Age.Filamu...
View ArticleMAXMALIPO WAWAFIKIA WATEJA DAR ES SALAAM
Ofisa Uhusiano na Masoko wa Maxmalipo Bw. Isaac Nyimbo akimpa maelekezo mteja baada ya kutembelea banda lao katika viwanja vya Posta Dar es Salaam jana. Wakati wa tamasha la 'Elimu exprience' Ofisa...
View Article