TONI BRAXTON AUMBUKA JUKWAANI
MUIMBAJI Toni Braxton amejikuta katika wakati mgumu alipokuwa akitumbiza jukwaani baada ya nguo yake aliyekuwa amevaa kupata 'hitilafu' kuchanika na kumuacha wazi sehemu ya makalio kwa muda mrefu bila...
View ArticleKIONGOZI MKUU WA BROTHERHOOD AKAMATWA
KIONGOZI mkuu wa vuguvugu la Muslim Brotherhood nchini Misri, Mohammed Badie amekamatwa na maafisa wa usalama kutoka makaazi yake eneo la Nasr 'City', Mjini Cairo. Badie aliwekewa kibali cha kumkamata...
View ArticleMAAFISA 24 WA POLISI WAUWAWA MISRI
Takriban maafisa 24 wa polisi kutoka Misri wameuawa kwenye shambulizi la kuvizia katika eneo la Rasi la Sinai. Duru zinaarifu polisi hao walikuwa kwenye msafara wa mabasi mawili yaliyoshambuliwa na...
View ArticleMWANAMKE MWENYE NYWELE NDEFU DUNIANI
MWANAMKE anayetambulika kwa jina la Asha Mandela anaongoza kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.Mwanamke huyo ambaye anadaiwa kuonywa na madakati juu ya urefu wa nywele zake...
View ArticleTAKWIMU ZA WALIOHUKUMIWA DAWA ZA KULEVYA
SERIKALI imetoa takwimu za mahabusi waliohukumiwa kwa kesi ya dawa za kulevya ambapo takwimu hiyo inaonyesha jumla ya watu 10 wamehukumiwa kwa kipindi cha mwaka 2010,2012.Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu...
View ArticleUTENGENEZAJI VIDEO CRAZY MAN
Kundi la TNG lipo katika hatua ya mwisho ya utengenezaji wa video ya wimbo wao unaojulikana kwa jina la 'crazy man'. Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha wakiwa wanarekodi video hiyo.
View ArticleKENYA YASAINI DOLA NA CHINA
Kenya imesaini mkataba na China ambao unatoa dola bilioni tano kuimarisha huduma za Reli,Kawi na Uhifadhi wa Wanyama Pori kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.Makubaliano hayo yaliafikiwa katika ziara ya...
View ArticleBROTHERHOOD YALAANI KUKAMATWA KWA KIONGOZI WAKE
Vugu vugu la Muslim Brotherhood limelaani kukamatwa kwa kiongozi wake Mkuu Mohammed Badie, kwa tuhuma za kuchochea ghasia na mauaji.Msemaji wa kundi hilo amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo ni njama ya...
View ArticleTIKETI ZIMEANZA KUISHA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
Shirikisho la soka duninai FIFA imesema kuwa zaidi ya tiketi milioni moja za kombe la dunia zimeombwa kupitia mtandao wake ndani ya saa saba pekee tangu zianze kuuzwa. Wengi walioagiza tiketi hizo ni...
View ArticleMAKAHABA WAOMBA ULINZI WAWEPO KAZINI
BAADA ya kugundua kuwa biashara ya ukahaba inalipa kwa upande wao, wanawake wanaojishughurisha na biashara hiyo nchini Kenya waomba watambuliwe na wapewe ulinzi wanapokuwa kazini ili na wao walipe kodi...
View ArticleMICHAEL SCOLFIELD AJITANGAZA KUWA SHOGA
MUIGIZAJI aliyejipatia umaarufu katika tamthilia ya 'Prison Break' Wentworth Miller maarufu kwa jina la 'Michael Scolfield' ameamua kujitangaza rasmi kuwa yeye ni shoga.Muigizaji huyo ameamua kuweka...
View ArticleUN YATAKA UCHUNGUZI SYRIA
Baraza la usalama la umoja wa mataifa limefanya kikao cha dharura kujadili madai kwamba wanajeshi wa serikali ya Syria wametumia silaha za kemikali pale walipofanya shambulio dhidi ya eneo lililopo nje...
View ArticleKUNDI LA PAGAD LAUA WATANZANIA 3, WAHUSISHWA NA DAWA ZA KULEVYA
Watanzania watatu wameuawa hivi karibuni jijini Cape Town, Afrika ya Kusini kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya. Watanzania hao walipigwa risasi na kundi la watu waliokuwa wameficha nyuso zao...
View ArticleAIRTEL YAGAWA VITABU
Airtel Tanzania imeendelea na mradi wake wa kusambaza vitabu katika shule ya Sekondari nchini chini ya mradi wa ‘Shule yetu’ ambapo shule mbalimbali za sekondari nchini zimenufaika na mradi.Meneja...
View ArticleWAKENYA WAMUUA AFISA MSAAFU WA JESHI KWA MAPANGA
"Alisaidia kuendesha mbuga za Kenya wakati mtoto wa mfalme Prince William alipomchumbia mpenzi wake Kate Middleton" Imeripotiwa kuwa aliyekuwa afisa wa jeshi la Uingereza ameuwawa kwa...
View ArticleMAJANGA: DRIVE-IN YA NGONO IMEANZA RASMI
“Jiji limehalalisha na kufungua vyumba 9 ambavyo vitatumiwa na machangudoa na wateja wao kihalali na kwa usalama zaidi”Drive-in ya ngono imefunguliwa rasmi, Zurich katika mkakati wa kuwalinda makahaba...
View ArticleKESI YA BO XILAI IMEKWISHA
Upande wa mashtaka katika kesi ya mwanasiasa mashuhuri nchini Uchina Bo Xilai, umetoa taarifa yake ya mwisho dhidi ya kiongozi huyo ambaye awali alitarajiwa na wengi kuchukua uongozi wa taifa...
View ArticleMAPIGANO TENA GOMA
Mapigano mapya yamezuka mwishoni mwa juma katika eneo la Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo ripoti zinasema watu watatu walifariki baada ya makombora kurushwa katika maeneo ya...
View ArticleWOTE KUKAGULIWA KASORO RAIS, MAKAMU, PM, JAJI MKUU NA SPIKA
Kuanzia sasa viongozi wote serikalini watakaopita kwenye viwanja vya ndege nchini, watakuwa wakikaguliwa kama abiria wengine, isipokuwa Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Spika wa...
View Article