WEMA SEPETU AMLIZA MAMA KANUMBA
BAADA ya mama Kanumba Bi. Flora Mtegoa kutunzwa kitita cha sh. laki tano na msanii wa filamu nchini Wema Sepetu, kitendo hicho kilimtoa machozi mama huyo na kudai kuwa kila anapokutana na baadhi ya...
View ArticleMSHINDI MISS REDD'S PHOTOGENTICS 2013 APATIKANA
Mshindi wa Miss Redd's Photogentics (katikati) akiwa amepozi na washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora ya miss Photogenitics. Kinyanganyiro hicho kilifanyika juzi katika hoteli ya Giraff Dar es...
View ArticleBREAKING NEWS: MICROSOFT YAINUNUA NOKIA
Kampuni ya Microsoft imeingia makubaliano ya kununua kampuni ya simu za mkononi ya Nokia kwa kiasi cha shilingi trilioni 11.5 (uro bilioni 5.4 au dola bilioni 7.2). Nokia pia itatoa leseni zake za hati...
View ArticleMOHAMMED ENTERPRISES YASHINDA KESI DHIDI YA BAKHRESA
Kundi la makampuni ya MeTL imeshinda kesi dhidi ya matumizi ya haki miliki zake dhidi ya makampuni ya Bakhressa. Bakresa sasa itatakiwa kuilipa METL Group kiasi cha shilingi milioni 732 pamoja na...
View ArticleMWANAMKE AMEZA SIMU
WIVU wa kimapenzi umemuweka matatani msichana anayeishi nchini Brazil, Adriana Andrade baada ya kuamua kumeza simu yake ya mkononi ili kumzuia mpenzi wake asisome 'message' katika simu yake.Msichana...
View ArticleMWANAUME ADHANIWA KUAMBUKIZA VVU
MWANAMUME Richard Thomas ambaye amefungwa gerezani kwa kumbaka mwanamke anasubiri matokeo ya vipimo vyake kama ameambikizwa virusi vya Ukimwi kutoka kwa mwanamke huyo.Bw. Thomas alihukumiwa kifungo cha...
View ArticleFEDHA YAMJERUHI MWANAMKE
Mwanamke wa kimarekani amelazwa hospitali baada ya kuumia kooni na tumboni wakati akijaribu kutoa kiasi kikubwa cha fedha alizozimeza kwa kutumia ufagio wa kusafisha choo.Christie Black 43 mkazi wa...
View ArticleMAHAKAMA YASITISHA KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI WAJAWAZITO
Hukumu ya hivi karibuni ya mahakama ya kikatiba imethibitisha kwamba shule haziwezi kuwafukuza wanafunzi kwa kupata uja uzito.Lakini Afrika Kusini bado inang'ang'ana kukabliana na suala hilo...
View ArticleBUNGE LAGEUKA UWANJA WA NGUMI LEO
UKUMBI wa Bunge leo uligeuka kuwa ulingo wa ngumi baada ya wabunge wa kambi ya upinzani kutunishiana misuri na askari wa bunge hilo ambapo Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe alipoamliwa...
View ArticleAUNT EZEKIEL KUKATWA MKONO
MSANII wa filamu za bongo , Grayson Gwantwa Aunt Ezekiel yupo hatarini kukatwa mkono kutokana najeraha la kupigwa chupa lililotokea Agosti 26 mwaka huu Dar es SalaamTukio la Aunt kupigwa chupa na...
View ArticleAZONTO LIVE IN DAR, FUSE APAGAWISHA MASHABIKI WAKE
Msanii Snura akicheza sambamba na wacheza shoo wake wakati wa ufunguzi wa shoo ya Azointo live in Dar jana katika viwanja vya Ustawi wa Jamii Msanii H.Baba akitumbuiza jukwaani hapo Kundi la Tip Top...
View ArticleMWANAUME KUFUNGA NDOA NA MBUZI
Mwanaume mmoja nchini Brazil anatarajia kufunga ndoa na mbuzi wake ingawa aliahidi kutoikamilisha ndoa hiyo kwa ngono. Bw. Aparecido Castaldo, (74) anatarajia kuoana na kipenzi wake mbuzi aitwaye...
View ArticleWANAWAKE ZAIDI YA 26 WAPOTEZA MAISHA KILA SIKU
TWAKIMU za hivi karibuni zinaonesha kuwa Tanzania ni kati ya nchi zinazoongoza kwa idadi kubwa ya vifo votokanavyo na uzazi huku wanawake 26 hupoteza maisha kila siku ambapo vifo hivyo asilimia 19...
View ArticleUN YAISHANGAA TANZANIA KUWAFUKUZA WAKIMBIZI
Umoja wa Mataifa umesema kuwa takriban wakimbizi elfu 25 kutoka Burundi wameondoshwa Tanzania kwa nguvu katika mwezi mmoja uliopita.Afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR...
View ArticleSUALA LA MAPADRI KUOA LAJADILIWA VARTICAN
Suala la mapadri wa Kanisa Katoliki kuoa au la, limeibuka upya na tayari limeanza kuzua mijadala mikali duniani. Mjadala wa sasa umeibuliwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Askofu Mkuu Pietro...
View Article'CHANGUDOA' , OMBAOMBA WAKAMATWA
Ombaomba zaidi ya 200 na wasichana wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama ‘dada poa’ usiku wa kuamkia jana walikamatwa kwenye operesheni maalumu ya kuwaondoa katika maeneo mbalimbali ya...
View ArticleYANGA YAWASILISHA RUFAA YAKE
Klabu ya Yanga tayari imewasilisha rufaa yake kwa shirikisho la soka nchini TFF juu ya kucheza mchezo wake katika hali isiyokuwa na usalama na kuomba mchezo huo urudiwe katika uwanja wa ugenini kwa...
View ArticleWALIMU WAANZA MGOMO UGANDA
Walimu wa shule za msingi na sekondari nchini Uganda wamegoma hii leo ikiwa siku ya kwanza ya muhula wa tatu na wa mwisho mwaka huu kwa wanafumzi.Hii ni baada ya matakwa yao ya kutaka wizara ya elimu...
View Article