DC STAKI APONGEZA JAMII YA KIMASAI KUACHANA NA MILA POTOFU NA KUANZA...
Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule akisikiliza kwa makini maelezo ya mmoja ya wazee wa kabila la Kimasai kuhusu umuhimu wa elimu katika maeneo hayoMkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki...
View ArticleMASHINDANO YA MGIMWA CUP YAMEZINDULIWA RASMI NA DC WA MUFINDI JUMHURI WILIAMU
Mkuu wa Wilaya ya mufindi Jumhuri Wiliamu akipiga mpira katika eneo la penati kuashiria kuwa mashindano ya mgimwa cup yamezinduliwa rasmiMkuu wa Wilaya mufindi Jumhuri Wiliamu aliyeshika mpira kulia...
View ArticleWANANCHI WANAKUBALI HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA SERIKALI MPYA
Hususani kuhusu uondoaji wa wafanyakazi hewa, Sera ya elimu bure na usimamishwaji wa watumishi wa serikali kutokana na makosa mbalimbali.Lakini wananchi hawakubaliani na kuzuiwa uagizwaji wa sukari...
View ArticleJESHI LA POLISI KILIMANJARO LAWATUNUKU ZAWADI ASAKARI WAKE 34
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadiq akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wakati wa gwaride maalum lililoandaliwa wakati wa hafla fupi ya kutunuku zawadi kwa askari 34 wa vyeo...
View ArticleWAZIRI MWIGULU AFANYA ZIARA MWANZA NA KUAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA ASKARI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba, alipofanya ziara kwenye makazi ya askari ya kigoto yalipopo Kata ya kirumba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza hii leo.Na George Binagi-GB Pazzo...
View ArticleMKUU WA MAJESHI GEN MWAMUNYANGE APOKEA UJUMBE TOKA CHINA
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akipokea zawadi ya nembo ya Jeshi la China kutoka kwa Mkuu wa Tawi la Ugavi wa China, Luteni Jenerali Liu Shengjie alipomtembelea ofisini...
View ArticleDC MUHEZA APIGA MARUFUKU BODABODA KUENDESHWA ZAIDI YA SAA SITA
Mkuu wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku...
View ArticleMBUNGE PETTER MSIGWA AKABIDHI MADAWATI 537 YA JIMBO LA IRINGA MJINI
MBUNGE wa Jimbo la Iringa mjini mchungaji Petter Msigwa akikabidhi madawati 537 ambayo ameyatoa kwa ajili ya jimbo la iringa mjini.MBUNGE wa Jimbo la Iringa mjini mchungaji Petter Msigwa akikabidhi...
View ArticleRC KILIMANJARO SAIDI MECK SADICK ATEMBELEA KIWANDA CHA TANGAWIZI
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Saidi Meck Sadick akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wake wa kazi alipozuru wilaya ya SameMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Saidi Meck Sadick akisalimiana na baadhi ya...
View ArticleDC HANDENI.MH GONDWE AFANIKIWA KUTATUA MGOGORO WA MPAKA WILAYANI HANDENI
Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh. Gdwin GOndwe akisalimiana na mkazi wa kijiji cha nyasa.Mkuu waa Wilaya ya Handeni,Mh Godwin Gondwe Jana alifanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliokuwa ukivihusisha...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MPWAPWA AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA...
Na Mathias Canal, DodomaMkuu wa Chuo cha Maendeleo ya wananchi (FDC)-CHISALU amekalia kuti kavu mara baada ya kubainika kuwa ameruhusu udahili wa wanafunzi wanaosoma fani ya utaalamu wa Kilimo na...
View ArticleTANESCO YAWAOMBA RADHI WATEJA WA KINONDONI KASIKAZINI
SHIRIKA la Umeme Tanzania ( TANESCO) linapenda kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa leo Jumamosi tarehe 24/09/2016 kumetokea hitilafu katika Kituo kikubwa cha kupooza na kusambaza...
View ArticleMIRADI 45 KUZINDULIWA NA MWENGE WA UHURU MKOANI TABORA
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey D.J Mwanri (Kulia)Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Mhandisi Methew Mtigumwe akisoma...
View ArticleMUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA RUNINGA
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Kibosho (UVIKI) Bw. Sevelin Mushi wa kwanza kulia akimkabidhi ungo wa king’amuzi cha azam Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano MNH, Aminiel Aligaesha kushoto kwa ajili...
View ArticleVIJANA WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KUJIAJIRI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Dk Leornad Akwilapo amewataka vijana kutafuta ajira sehemu mbalimbali kwa kutumia fursa zilizopo badala ya kutegemea fursa...
View ArticleWASHIRIKI KUTOKA BURUNDI NA RWANDA WAZICHAPA LIVE KATIKA MAISHA PLUS
Katika hali isiyotarajiwa katika kijiji cha Maisha Plus, jana washiriki wawili, KAREKEZI Jean kutoka Rwanda na BASWARI Nibigira kutoka Burundi walipigana hadharani huku wakirekodiwa na camera...
View Article