Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAKABIDHI MADAWATI KWA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

  Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ,Bi Zainab Telack (aliye vaa ushungi) akiongozwa na Meneja wa Ustawi na Mahusiano ya Jamii wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Elias Kasitila (kushoto kwake) wakati wakielekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI ILEJE ATOA ONYO KALI KWA WASIMAMIZI WA MITIHANI YA DARASA LA 7

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Haji Mnasi akiandika baadhi ya hoja kutoka kwa baadhi ya wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayotarajiwa kufanyika siku ya jumatano tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA KONDOM MPYA YA ZANA WAFANYIKA MKOANI MWANZA

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dr.Leonard Subi (kushoto) akizindua Kondom mpya ya Zana inayotolewa na Serikali bure kwa wananchi kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUWSA YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI MANDELA MJINI MOSHI

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.Said Mecky Saidiq akiwasili katika shule ya msingi Mandela iliyopo kata ya Bomabuzi wilaya ya Moshi kwa ajili ya kupokea msaada wa Madawati yaliyotolewa na Mamlaka ya Maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM JIONI HII TAYARI KWA MKUTANO WA VIONGOZI...

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAJAB NA KITHARA TAARAB ZANZIBAR WALIVYOTUMBUIZA JIJINI WASHINGTON

Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab lenye kupiga mziki wa mahadhi ya mwambao kutoka Zanzibar, walipotumbuiza siku ya Jumanne Sept 6. ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU AZINDUA BARAZA LA VIJANA WA SHEHIA TATU ZA...

Shekh Mohammed Suleiman akisoma Quran kabla ya Uzinduzi wa Baraza la Vijana kwa Shehia Tatu za Unguja Ukuu Kaebona, Unguja Ukuu Kaepwani na Unguja Ukuu Tindini uliofanyika katika viwanja vya mpira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA YA MAJI TANGA YAPATA TUZO

Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto akipokea tuzo ya mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) ya ubora wa kimataifa,kupitia hati ya ISO 9001:2015 ulitokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE COSATO CHUMI AANZA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE SHULE ZA JIMBO LA...

Bw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akikagua pump kwenye moja ya kisima kwenye shule ya Msingi Makalala, anayetizama ni Mbunge wa Mafinga Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA KUONGEZA UJUZI NA IDADI YA WAKUNGA MAENEO YA VIJIJINI NCHINI...

Kaimu Katibu Tawala mkoani Mwanza, Projestus Rubanzibwa, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza, kwenye kikao cha Utambulisho wa Mradi wa kuongeza Ujuzi na Idadi ya Wakunga katika maeneo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA TANGA SHIGELLA ATEMBELEA BANDARI MKOANI HUMO

Kushoto ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella wa kwanza kulia aliyekaa kwenye boti wakati alipofanya ziara ya kuitembelea bandari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wenzie wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS KULITAMBULISHA JIJI LA MWANZA KWENYE...

Ofisi za Mikaela Professional Tailors zinapatikana Ghana Green View, barabara ya Airpot Jijini Mwanza. Wapigie kwa nambari 0767 68 28 88 ili wakuhudumie kwa wakati na kwa ubora.Tofauti na ilivyo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC STAKI: APIGA MARUFUKU KUFANYA BIASHARA KWA KUJAZA RUMBESA

Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule akikagua magunia yaliyokutwa yakiwa yamejazwa RumbesaMkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule akizungumzia unyonyaji wanaokumbana nao wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MBARAWA AZINDUA GATI JIPYA PANGANI, TANGA LAGHARIMU ZAIDI YA BILIONI 3

WAZIRI wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim Mattaka wakati alipofanya ziara ya kuzindua gati mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIMBWENDE WA OZONA MISS LAKE ZONE 2016 APATIKANA

Jumamosi Septemba 10, 2016 kuamkia leo jumapili, kinyang'anyiro kikali cha kumsaka mlimbwende wa Kanda ya Ziwa, (OZONA MISS LAKE ZONE 2016), kimefanyika ambapo Mlimbwende, Eluminatha Dominick (pichani)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC IKUNGI AITAKA SHANTA GOLD MINE KUWALIPA FIDIA WANANCHI ILI KUPISHA...

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kilichohudhuriwa na Wawakilishi wa kampuni ya Shanta Gold Mine Ltd, Wananchi wawakilishi kutoka Kijiji Cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUWSA WASAFISHA MIFEREJI YA MAJI TAKA KITUO KIKUU CHA MABASI MJINI MOSHI

Tope zilizokuwa zimetuama katika mifereji ya kusafirisha maji taka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi zikiondolewa. Licha ya kuwepo na kampuni iliyopewa kandarasi ya usafi katika kituo kikuu cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTEULE WILAYA YA MBULU,AANZA KAZI KWA KUMTANGULIZA MUNGU

Mkurugenzi mteule wa Wilaya ya Mbulu, Hudson Kamoga, ambaye ameteuliwa mwishoni mwa wiki jana amesema anaamini ni Mungu aliyemuweka kwenye nafasi hiyo ili  awatumikie wananchi wa Mbulu kwa wakati huu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA ASHIRIKI UAPISHO RAIS WA 6 WA ZAMBIA MJINI LUSAKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live