Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI DKT.DANIEL KULOLA KURINDIMA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI...

Kanisa la EAGT Posta “B” Mabatini Jijini Mwanza chini ya Mchungaji Lameck Nkumba, linawakaribisha watu wote kwenye mkutano mkubwa wa injili utakaofanyika katika viwanja vya kanisa hilo vinavyotizamana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIZO LA UMEME - MKOA WA KINONDONI KUSINI MWISHO WA WIKI HII

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-TAREHE:    Jumamosi 01 Oktoba, 2016MUDA:       02:00 Asubuhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOFUNGA MAFUNZO YA MEDANI YA KIJESHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange alipowasili kushuhudia kufungwa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAYDEE - SAWA NA WAO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFADHILI WAFURAHISHWA NA UKAUSHAJI WA MBOGA MBOGA WA WANAWAKE MOROGORO

Mkurugenzi wa mawasiliano wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake Afrika, Anna Salado (kulia), akipakua mboga zilizopikwa kiasili na kuungwa kwa nazi wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea mradi wa...

View Article

NEW MUSIC: BARAKA THE PRINCE Ft. ALIKIBA - NISAMEHE (OFFICAL MUSIC VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPF YASAJILI WANAKIJIJI 395 KWENYE MPANGO WA WOTE SCHEME HUKO IKWIRIRI, PWANI

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kulia), akiwasaidia wanakijiji hawa wa Ikwiriri, Wilayani Rufiji mkoani Pwani, kutuma michango kwa njia ya mtandao wa simu, wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"MRADI WA GREEN VOICES UMEONYESHA MAFANIKIO, UTAWAKOMBOA WANAWAKE TANZANIA"

Makamu wa Rais mstaafu wa Hispania na Rais wa Taasisi ya Women for Africa Foundation, Mama Maria Tereza Fernandez de la Vega, akisalimiana na maofisa wa ulinzi na usalama mara baada ya kuwasili katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU PPF, ATEMBELEA ENEO LA KIWANDA KIPYA CHA NGOZI, GEREZA LA...

Mkuu wa gereza la Karanga, mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro, ambako ndiko kilipo kiwanda cha kutengeneza viatu, Kamishna Msaidizi wa Magereza, (ACP), Hassan Bakari Mkwiche, (kushoto), akionyesha kitu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII AY AKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA KWENYE THE NYAMA CHOMA...

Jana Oktoba 08, 2016 kuamkia leo jumapili Oktoba 09, 2016 ilikuwa Shangwe kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kwenye tamasha kubwa la "The Nyama Choma Festival" lililofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL YAZINDUA SHINDANO LA WAPIGA MZIKI (DJ) “MIX MASTER” ITAKAYOSHIRIKISHA...

Dar es Salaam, Oktoba 9, 2016- Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imetangaza kuzindua shindano la DJ bora ambalo linalenga kuibua na kukuza vipaji katika sekta ya muziki na burudani nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYASA BOY APATA NAFASI YA KUFANYA KAZI NA BARAKA DA PRINCE.

Nyasa Boy si jina geni miongoni mwa wasanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Alianza kujulikana Jijini Mwanza mwaka mmoja uliopita baada ya kufanya kazi na Mc Darada, iliyoita Chongoroa. Mwaka huu 2016...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPSF YAZINDUA JIVUNIE BIDHAA BORA ZA TANZANIA NA UTOAJI TUZO KWA CHAPA BORA...

Meneja wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na Mratibu wa Tuzo za Chapa Bora 50 za Kitanzania Bw. Emmanuel C. Nnko akitoa Maelezo kuhusu Fahari ya Tanzania na Mchakato mzima wa Upatikanaji wa Chapa Bora 50...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA ILEMELA YAANZA KUBOMOA UJENZI KWENYE HIFADHI YA MTO MSUKA KILIMAHEWA

Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imeanza utekelezaji wa zoezi la kubomoa kuta za nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya Mto Msuka katika eneo la Kilimahewa, kwa ajili ya kupanua mto huo ili kuondoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MUHEZA AWATAKA WAZEE KUWAFICHUA VIJANA WANAOHARIBU MAISHA YA WANAFUNZI

Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee Muheza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEMEJIE RAIS MSTAAFU KIKWETE, BAGAMOYO

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Mrisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC STAKI ASIMAMIA ZOEZI LA KUCHOMA SHAMBA LILILOLIMWA MIRUNGI

Zao aina ya Mirungi likiteketezwa kwa motoWakazi wa Kijiji cha Kisesa Kata ya Vudee wakishuhudia zoezi la uteketezaji wa shambala MirungiNa Mathias Canal, KilimanjaroMwishoni mwa mwezi Septemba mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI, BARAZA LA WOTOTO MWANZA LATOA NENO

Mwenyekiti wa Baraza la Watoto mkoani Mwanza, Paulina Mashauri, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo Jijini Mwanza yamefanyika hii leo Oktoba 11, katika Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA SAME, AIKARIBISHA PPF KUWEKEZA KWENYE KIWANDA CHA TANGAWIZI

Mkuu wa Wilayaya Same, mkoani Kilimanjaro, Bi. Rosemare Staki Senyamule, (kulia), akimkaribisha ofisini kwake, Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi. Lulu Mengele Oktoba 10, 2016NA K-VIS...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live