MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Meneja Mkuu wa Uzalishaji katika kiwanda cha Ushoni wa Nguo za aina mbalimbali Mw. Ritesh Krishandev Beesony,...
View ArticleDART YAHIMIZWA KUELIMISHA WAKAZI WA DAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Mradi wa mabasi yaendayo haraka UDA RT, ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)ART Yahimizwa Kuelimisha...
View ArticleOLE SENDEKA AHUDHURIA SHEREHE ZA DIWANI WA KATA YA ENGARENAIBOR, LONGIDO...
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo...
View ArticleJAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA JAJI MKUU WA CHINA LEO JIJINI
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia) akiwa ameongozana na Jaji wa Mahakama Kuu ya Watu wa Jamhuri ya China, Mhe. Zhang Jiannan (kuahoto) mara baada ya kumpokea katika viwanja vya...
View ArticleDARAJA LA KIGAMBONI, WATANZANIA WAFARIJIKA, MAMIA WAENDA KULISHANGAA NA...
Daraja la ksiasa la Kigamboni linalounganisha eneo la Kigambonina upande wa Kurasini likikatisha bahari ya Hindi. Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kulizindua rasmi daraja hilo Jumanne Aprili...
View ArticleZANTEL YAKABIDHI COMPUTER 21 KWA VYUO VYA WALIMU ZANZIBAR.
Afisa Mtendaji wa Millcom Africa Bi Cynthia Gordon akimkabidhi Computer Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Tanzania...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO (PICHA)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016.Spika wa Bunge,...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA DARAJA LA KIGAMBONI NA KULIITA “DARAJA LA NYERERE”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni...
View ArticleMASHINDANO YA CHESS KUANZA 23 APRIL MWAKA HUU.
PICHA:Katibu wa Chama cha Mchezo wa Chess Tanzania (TCA) Bw. Nurdin Hassuji ambaye pia ni Bingwa wa Taifa wa mchezo huo akiongea na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu mashindano ya mtu mmoja...
View ArticleMITSUBISHI YAKIRI MAKOSA KWA MAGARI YAKE (BBC)
Mitsubishi imesema kuwa majaribio ya matumizi ya mafuta yalifanywa kwa njia isiyo sahihi.Kampuni ya kuunda magari ya Japan ya Mitsubishi, imekiri kufanya makosa kwa tamwimu za matumizi ya mafuta kwa...
View ArticleRAIS WA CAF, ISSA HAYATOU AMPONGEZI RAIS MPYA WA ZFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), Issa Hayatou amemtumia salamu za pongezi Ravia Idarous Faina kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) mwishoni mwa juma...
View ArticleWABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI (TANZANIA) WATEMBELEA SOKO LA SAMAKI FERRY,...
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA), kutoka Tanzania, Mh.Abdullah Mwinyi, (katikati-wapili kulia), akipewa maelezo na meneja wa soko la samaki Ferry, Bw.Solomon Mushi, kuhusu biashara ya samaki...
View ArticleMATOKEO UTAFITI WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KUTUMIKA KUFANYA MABORESHO...
Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya Utafiti wa Watu wenye uwezo wa...
View ArticleWAHALIFU 71 WAKAMATWA NDANI YA WIKI GONGO LA MBOTO.
Na MAELEZOJumla ya wahalifu 71 wamekamatwa ndani ya siku 7 katika maeneo mbalimbali katika Kata ya Gongo la mboto,Wilaya ya Ilala, Jijini Dar es Salaam wakiwa na kete za bangi pamoja na madumu ya pombe...
View ArticleMHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 4 UNAOLENGA KUDHIBITI SILAHA HARAMU KWA NCHI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu. Mkutano huo wa...
View ArticleMWANAMUZIKI MKONGWE PRINCE AMEFARIKI
Vyanzo mbalimbali vimedhibitisha kifo cha mwanamuziki mkongwe na aliyewahi kuwa maarufu duniani Prince(PICHANI JUU) akiwa na miaka 57 aliyefia nyumbani kwake. Polisi bado wanachunguza mazingira ya kifo...
View ArticleMUHIMBILI YAFAFANUA KUHUSU MATIBABU YA WAGONJWA WA SELIMUNDU(SICLE CELL)
Na MaelezoUongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) umetoa ufafanuzi kuhusu matibabu ya wagonjwa wa Selimundu(Sickle cell) ambapo umesema kwamba hudumma hiyo haijasitishwa kama ilivyoelezwa na...
View Article