RAIS WA ZANZIBAR, DR. SHEIN AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KOICA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Korea Kusini "KOICA GLOBAL" Bw.Kwon Taemyon akiwa na ujumbe wake...
View ArticleSERIKALI YASEMA MUDA WA UZIMAJI SIMU FEKI HAUTAONGEZWA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiiano Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali haitaongeza muda katika zoezi zima la uzimaji wa simu feki ifikapo Juni 16 mwaka huu. Ameyasema hayo ofisini kwake leo...
View ArticleASILIMIA 71 YA WATANZANIA HAWATAKI KUFANYA KAZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu),Jenista Mhagama,akizindua ripoti ya matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 katika...
View ArticleMSEMAJI WA CCM OLE SENDEKA AITEKA MOSHI LEO
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo chanaMsemaji wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma...
View ArticleSERIKALI YAAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka makampuni ya simu za mkono kuzima data zao kila siku kuanzia saa...
View ArticleMAKAMPUNI BINAFSI HAYAHUSIKI ULINZI MAENEO NYETI YA BANDARI
Na MAELEZOMamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema kuwa makampuni binafsi ya ulinzi yanayofanya kazi bandarini hayahusiki na ulinzi wa sehemu nyeti za za Mamlaka hiyo.Akitoa ufafanuzi huo leo jijini...
View ArticleSIKU YA USONJI KUADHIMISHWA KWA MATEMBEZI YA HIARI
Na MaelezoNaibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Dk.Abdalla Possi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika matembezi ya hiyari ya kuazimisha siku ya watoto wenye...
View ArticleRAIS WA SUDANI KUSINI AWASILI NCHINI NA KUTIA SAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akisalimiana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Utiaji saini wa Mkataba wa...
View ArticleBARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 248.477
Na Mwandishi WetuBARAZA la Madiwani la Halmashau ya Manispaa ya Kinondoni, limeidhinisha bajeti ya zaidi ya sh. bilioni 248.477 kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017 ambapo zaidi ya sh. bilioni 64.285 ni...
View ArticleDIAMOND TRUST YAKABIDHI MADARASA MAWILI SHULE YA JITIHADA, KITUNDA
Bi Elizabeth Thomas, Mwakilishi kutoka ofisi ya Manispaa ya Ilala akipeana mkono na Bw. Viju Cherian, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Diamond Trust (DTB) wakati wa sherehe ya kukabidhi madarasa mawili...
View ArticleWAZIRI WA AFYA AMPA MKURUGENZISIKU 90 KUNUNUA MASHINE YA MIONZI (SIKILIZA HAPA)
Na KahamaMkurugenzi wa halmashauri wa mji kahama amepewa siku tisini awe amenunua mashine ya mionzi (x ray)kwa ajili ya hospitali ya mji kahama. Agizo hilo amepewa jana na Waziri wa afya,maendeleo ya...
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA...
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa...
View ArticleHAKUNA MUDA WA KULALA, WAZIRI MKUU AIAMBIA DART
File PhotoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaambia watendaji na wadau wa mradi Mabasi Yaendayo Haraka wa jijini Dar es Salaam (BRT) kuwa hawana muda wa kulala wa kupumzika na akawataka wakamilisha haraka...
View Article