MEZ B AFUNGUKA JUU YA KUFUNGA NDOA
BAADA ya baadhi ya washabiki wa muziki wa bongo fleva nchi kujiuuliza maswali mengi juu ya baadhi ya wasanii kushindwa kuoa pamoja na kupata watoto, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Moses 'Mez...
View ArticleRIHANNA ASHAMBULIWA NA CHIPS JUKWAANI
Kutokana na kitendo chake cha kuchelewa mara kwa mara kwenye shoo mwanadada Rihanna ajikuta yupo katika wakati mguu baada ya mashabiki kumwagia chipsi.Mashabiki hao walionyesha kuchoshwa na tabia yake...
View ArticleKALA AJIPANGA KUACHIA 'NGOMA' MPYA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Kala Jeremiah awataka mashabiki wake kujiandaa kuipokea ngoma mpya ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.Akizungumza jijini Dar es Salaam Kala aliweka wazi...
View ArticleWAGONJWA WATIBIWA NJE MUHIMBILI
Inasemekana hii ndiyo hali ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilivyo sasa baada ya kupisha zoezi la upulizwaji wa dawa ya kuua wadudu na mazalia yake katika wodi za wagonjwa za kibasila na Mwaisela
View ArticleKANYE WEST AMSHUKIA PAPARAZI
Msemo unaosema kuwa Hasira hasara, msemo huo ulitaka kumpeleka pabaya muimbaji Kanye West pale alipokuwa ameamua kumsulubu mpiga picha mmoja .Kanye West anaonekana kuwa na hasira na mapaparazi, hasira...
View ArticleMJANE ATIMULIWA NJE
Hata kabla ya maziko askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa Darfur, Sudan hayajafanyika, mchumba wa mmoja wa wapiganaji hao, Amina Juma ameonja chungu nyingine baada ya kutimuliwa...
View ArticleJIJI HILI LIMEFILISIKA
Jaji Rosemarie Aquilina wa jimbo la Ingham, Michigan Marekani ametoa hukumu kwa mujibu wa ibara ya 9 ya kufilisika kwa jiji la Detroit mwishoni mwa wiki iliyopita. SOMA ZAIDI“Nna wasiwasi mkubwa sababu...
View ArticleMWINGEREZA MKENYA AWEKA REKODI
Mwendesha baiskeli mzaliwa wa Kenya ingawa raia wa Uingereza Chris Froome, anasema kuwa anatumai ushindi wake wa mashindano ya Tour de France utaweza kuwapa motisha vijana wa kiafrika.Froome alishinda...
View ArticleHATIMA YA MASOGANGE KUJULIKANA AGOSTI 13
Hatimaye msanii anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, waliokamatwa Afrika Kusini na dawa za kulevya teyari walishapanda...
View ArticleSHEREHE JIJINI LONDON KUZALIWA MWANA WA MFALME
Tangazo la kuzaliwa kwa mwanamfalme Ujumbe wa heri njema umeendelea kutolewa kutoka kote duniani baada ya Kate na Prince William ambaye atakuwa wa tatu kwenye foleni katika kurithi ufalme wa...
View ArticleMSICHANA AIBA KADI YA BENKI KULIPIA GESTI.
msichana mwenye umri wa miaka 24 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kuiba kadi ya benki ya mama yake na kutoa fedha alizotumia kulipia hoteli aliyolala na mtoto wa miaka 14.Msichana...
View ArticleNEY AUMIZWA NA HALI DUNI KWA WANAWAKE
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Ney wa Mitego amejikuta akitokwa na machozi, baada ya kukutana na mwanamke akiwa amewabeba watoto wawili wadogo huku akiendesha baiskeli mkoani Morogoro wilayani...
View ArticleMWANAMKE ANUSURIKA KIMAAJABU
Asakari wa Zimamoto wakimsaidia dereva wa gari dogo lililopata ajali Kusini mwa China, baada ya kugonga roli kwa nyuma. Kushoto ni abiria aliyekuwa katika gari hilo kichwa chake kikiwa kimechomoza nje...
View ArticleKIWANDA CHA SILAHA CHAKAMATWA DAR
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Charles Masunzu (30) mmliki wa kiwanda cha kutengeneza silaha mbalimbali za kienyeji kwaajili ya uhalifu.Akizungumza na waandishi...
View ArticleKIKI YA RONALDO YAVUNJA MKONO MTOTO
Mtoto wa miaka 11 ambaye ni shabiki wa soka amevunjika mkono wa kushoto baada ya kupigwa na mpira wa shuti kali alilopiga mchezaji maarufu duniani Cristiano Ronaldo.Kwa mujibu wa mtandao wa habari wa...
View Article