Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

KANYE WEST AMSHUKIA PAPARAZI

$
0
0

 Msemo unaosema kuwa Hasira hasara, msemo huo ulitaka kumpeleka pabaya muimbaji Kanye West pale alipokuwa ameamua kumsulubu mpiga picha mmoja .

Kanye West anaonekana kuwa na hasira na mapaparazi, hasira zake hizo jana zimemfanya amshambulie mmoja wao kwenye uwanja wa ndege wa LAX huku akitaka kumnyanga'nya camera.

Kutokana na kitendo hicho sasa Rapa huyo anashtakiwa kwa kesi ya jaribio la unyang'anyi




Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles