$ 0 0 Inasemekana hii ndiyo hali ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilivyo sasa baada ya kupisha zoezi la upulizwaji wa dawa ya kuua wadudu na mazalia yake katika wodi za wagonjwa za kibasila na Mwaisela