MISRI IMEREJEA TENA KWENYE VURUGU
Mamia ya wafuasi wa kiongozi aliyepinduliwa Misri Mohamed Morsi wamepambana na vikosi vya usalama katikati mwa mji wa Cairo na kuwafyatulia waandamanaji hao gesi ya kutoa machozi.Mapigano hayo yanajiri...
View ArticleSADC YAPELEKA WAANGALIZI 442 KWENYE UCHAGUZI ZIMBABWE
Kwa mujibu wa taarifa tulizozipata moja kwa moja kutoka kwenye Twitter (Pichani) ya Waziri wa Mambo ya Nje Bernad Membe, ni kwamba SADC imepeleka waangalizi 442wa uchaguzi utakaofanyiak nchini...
View ArticleMADERA WANACHANGIA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Imeelezwa kuwa uchukuzi wa bidhaa kutumia malori kunachangia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi nchini.Kauli hiyo imetolewa na katibu wa taasisi isiyo ya kiserikali ya kupambana na matumizi...
View ArticleANYIMWA DHAMANA KWA KUMBAKA MKEWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Entebbe nchini Uganda imemnyima dhamana Charles Atayo(33) anayetuhumiwa kumbaka mke wake.Atayo mkazi wa kijiji cha Nakigalala kilichoko mkoa wa Sisa, wilaya ya Wakiso...
View ArticleMUDA WA CHRIS BROWN WATENGULIWA
Hakimu aliyekuwa akishikilia kesi ya mwanamuziki Chris Brown ametengua kesi ya msanii huyo ambaye alikuwa chini ya uangalizi.Hakimu huyo ametengua kipindi cha uangalizi alichopewa mwaka 2009, Chris...
View ArticleKENYA YARUHUSU UCHIMBAJI WA MADINI YA NIOUBIUM
Serikali ya Kenya imepeana idhini ya kuanza kwa uchimbaji wa madini ya niobium katika eneo Kwale.Kampuni ambayo itaendesha uchimbaji wa madini hayo ya Cortec Mining Kenya imetangaza kuwa mamlaka ya...
View ArticleROONEY ASHIKWA NA HASIRA , ACHANGANYIKIWA'
Wayne Rooney kashikwa na hasira huku akiwa amechanganyikiwa kuhusu nafasi yake katika timu yake ya muda mrefu, Manchester United, baada ya Meneja David Moyes kusema mshambuliaji huyo sio chaguo lake la...
View ArticleBREAKING NEWS: OPRAH YUKO TANZANIA
Mmoja kati ya watu mashuhuri duniani haswa katika ulimwengu wa vipindi maalumu vya mahojiano vya televisheni, Opra Winfrey yuko ziarani katika Mbuga ya Taifa ya Serengeti katika ziara yake binafsi. kwa...
View ArticleTUHUMA DAWA ZA KULEVYA:
BAADA ya kukamatwa na dawa za kulevya nchini Afrika Kusini, msanii anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, ukweli umeibainika...
View ArticleWANANCHI TUSHIRIKIANE KATIKA KUZUIA UJANGILI
Wizara ya Maliasili na Utalii inawajulisha wananchi kuwa ingawaje kumekuwa na taarifa za kuongezeka kwa ujangili nchini na hasa mauaji ya kinyama ya tembo na usafirishaji haramu wa wanyama hai na meno...
View ArticleMSWADA WA NDOA KUWANUFAISHA WANAWAKE
Mswaada unaolenga kuoanisha sheria za ndoa nchini Kenya umewasilishwa bungeni.Baadhi ya mabadiliko yaliopendekezwa katika mswada huo ni pamoja na kuhalalisha ndoa za wake wengi mbali na kuziimarisha...
View ArticleGILLIE KUIGIZA FILAMU YA TUPAC
Mfalme wa Philly maarufu kama Gillie Da Kid anatarajiwa akishirikiana na wakongwe wa filamu Ving Rhames na Steven Seagal katika filamu itakayoitwa “Force of Execution,” huku akiendelea kupigia debe...
View ArticleSISTA ASHAMBULIWA, ABAKWA WIKI NZIMA
Sista aliye mafunzoni ametekwa na kubakwa kwa wiki nzima na kundi la wanaume watatu katika kile kinachohisiwa kuwa ni shambulio la kulipiza kisasi, vyombo vya habari nchini India vimeripoti.Sista huyo...
View ArticleMANDELA ATIMIZA MIAKA 95 LEO
LEO ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mzee Nelson Rolihlahla Mandela, ambapo anatimiza miaka 95 toka azaliwe, sherehe ya kuzaliwa kwa rais huyo zinafanyika leo hafla itakayoambatana na shughuli za kusaidia...
View ArticleMASHAHIDI 3 WAONDOLEWA KESI YA UHURU KENYATTA
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema kuwa Fatou Bensouda ambaye ni kiongozi wa mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, amewaondoa mashahidi watatu katika kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wa...
View ArticleKONDOMU DILI UGANDA
Nchi ya Uganda inakabiliwa na ukata wa kondomu, hali inayoleta utata juu ya ongezeko la kasi la maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Kwa mujibu wa mganga mkuu wa wilaya ya Masaka Dk. Stuart Musisi, aliweka...
View Article