RWANDA YASAIDIA WAASI M23
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeikosoa serikali ya Rwanda na kusema kuwa, serikali ya Kigali imekuwa ikiwaunga mkono waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia...
View ArticleHALI MBAYA MISRI
Muslim Brortherhood kinalaumu maafisa wa usalama kwa utovu wa usalama Watu waliokuwa wamejihami nchini Misri wamewaua kwa kuwapiga risasi wafuasi wawili wa rais aliyeondolewa mamlakani Mohamed...
View ArticleWATU 1,500 WAATHIRIKA NA MSHTUKO WA MOYO
Zaidi ya watu 1,500 waathirika na mshtuko wa moyo ulio sababishwa na kushindwa kula kitu chochote asubuhi (kiamsha kinywa) , kulingana na utafiti uliofanywa nchini Marekani.Utafiti wao uliowahusisha...
View ArticleHALI YA MMILIKI WA HOME SHOPING CENTER
Mfanyabiashara Mmiliki wa Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad (Pichani), aliyemwagiwa tindikali wiki iliyopita katika shopping mall mpya ijulikanayo kama Msasani City Mall, jijini Dar es...
View ArticleMBAKAJI SUGU AFRIKA KUSINI AFARIKI
Mwanamume anayetuhumiwa kuwa mbakaji sugu nchini Afrika Kusini ,Sifiso Makhubo, amepatikana akiwa amefariki katika chumba chake gerezani.Sifiso Makhubo, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 122 ikiwemo...
View ArticleMAAFISA WA SOKA KENYA 'UFISADI'
Bendera ya KenyaWakuu wa shirikisho la mchezo wa soka nchini Kenya FKF, wanachunguzwa na maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mamia ya maelfu ya dola pesa za...
View ArticlePAPISS CISSE KIMEELEWEKA
Mzozo kati ya Cisse na klabu yake umetatuliwaPapiss Cisse Papiss Cisse na wasimamizi wa klabu ya Newcastle hatimaye wameafikiana na sasa mchezaji huyo ataanza kuvalia sare rasmi ya klabu hiyo iliyo na...
View ArticleKALA AMPIGIA DEBE LOWASA
 Mimi Kala Jeremiah nilikuwa msanii wa kwanza tanzania kumsema mheshimiwa Edward Lowasa kupitia wimbo wangu uitwao wimbo wa taifa baada ya mheshimiwa kukumbwa na kashfa ya ufisadi wa Richmond.Kwa...
View ArticleJAY Z 'AMDATISHA' BEYONCE
Rapa wa kimataifa Jay Z adhihirisha jinsi gani anavyompenda mke wake Beyonce, baada ya kushindwa kuvumilia na kumvamia juu ya stage ya Philadelphian Alhamisi usiku na kumkumbatia
View ArticleJENGO PACHA HALIVUNJWI KWA SASA
 JENGO LILIAMRIWA KUVUNJWA LILOKO KARIBU NA JENGO LILIPOROMOKA NA KUUA KUTOVUNJWA Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imesema hatma ya jengo la ghorofa 16 (pichani) lililoko mtaa wa Indira Gandhi na Asia...
View ArticleWATANZANIA WATATU WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVA HONG KONG
WATANZANIA watatu wanadaiwa kukamatwa nchini mjini Hong Kong nchini China  wakisafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya sh. bilioni moja. Dawa hizo zimetipotiwa kuhifadhiwa katika kitengo cha madawa...
View ArticleAJALI YA BASI YAUWA 38 ITALY
Waokoaji kusini mwa Italy wamesema kuwa takriban watu 38 wameuawa baada ya basi moja waliokuwa wakisafria kutumbukia mita thelathini ndani ya mtaro.Abiria wengine walipelekwa hospitalini wakiwa na...
View ArticleDIAMOND AENDA KUSOMA AFRIKA KUSINI
Hatimaye msanii anayetamba kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya nchi, anayeongoza kwa shoo Diamond Platinum amua kujikita darasani kwa kuongeza elimu.Kupitia ukurasa wake wa FB msanii huyo alijalibu...
View ArticleMOXIE ASAFIRISHA ABIRIA BURE JIJINI
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, anayeunda kundi la Wateule, Taikuni Ally 'Moxie' jana amejitolea kuwasafirisha abiria bure kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.Moxie amejikuta...
View ArticleAIRTEL YAFTURISHA WATEJA
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao jijini...
View ArticleMBUNIFU DIANA MAGESA ALIPOFANYA SHOW PARIS
Sehemu ya show ya mbunifu maarufu kutoka Tanzania, Diana Magesa iliyofanyika Paris, Ufaransa hivi karibuni. Imma Matukio itaendelea kukuletea designs mbalimbali za show hiyo, keep it locked
View ArticleMBUNGE AJISALIMISHA POLISI
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Idi Azzan, amejilisalimisha' polisi na kutaka jeshi hilo, kufanyia uchunguzi tuhuma za kuhusishwa na biashara za dawa za kulevya na...
View Article