Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

MUDA WA CHRIS BROWN WATENGULIWA

$
0
0

Hakimu aliyekuwa akishikilia kesi ya mwanamuziki Chris Brown ametengua kesi ya msanii huyo ambaye alikuwa chini ya uangalizi.

Hakimu huyo ametengua kipindi cha uangalizi alichopewa mwaka 2009, Chris Brown kutokana na kosa la kufanya fujo nyumbani na kumpiga  aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.



Mahakama ya Hakimu Mkuu James R. Brandlin ilipanga tarehe 16 Agosti kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo pamoja na kupanga adhabu, ambapo Chirs Brown aligongewa nyundo ya miaka 4 jela


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles