UGANDA YA PILI KWA UFISADI AFRIKA MASHARIKI
Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Uwazi kuhusu ufisadi Transparency International inaonyesha kuwa Uganda inashika nafasi ya pili katika kanda ya Afrika Mashariki kwa rushwa.Hata hivyo serikali ya...
View ArticleJULIUS MALEMA AANZISHA CHAMA
Aliyekuwa kiongozi wa vugu vugu la vijana la chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC, Julius Malema (Pichani Kulia) amezindua kundi la kisiasa litakalojulikana kama Wapiganiaji wa Uhuru wa Kiuchumi...
View ArticleMALIPO YA WALIMU YAIUMBUA SERIKALI
Wakati serikali imetoa tamko juu ya limbikizo la deni linalodaiwa na walimu kuwa zaidi ya sh. bilioni 1.2, kama malimbikizo ya mishahara kati ya Julai 2012 na juni mwaka huu, madai ambayo yalipelekwa...
View ArticleMISRI 'KIMENUKA' TENA
Wafuasi na wapinzani wa rais wa Misri aliyeondolewa madarakani Mohamed Morsi wanajiandaa kwa maandamano makubwa mjini Cairo, huku waumini wa dini ya Kiislamu wakiadhimisha Ijumaa ya kwanza ya mwezi...
View ArticleELTON JOHN AUGUA KIDOLE TUMBO
Gwiji wa muziki wa Pop nchini Uingereza, Sir Elton John amelazimika kuahirisha onesho lake lililokuwa lifanyike Hyde Park jijini London, baada ya kubainika kuwa ana tatizo la kidole tumbo.Nyota huyo wa...
View ArticleVILABU VINNE VYAPIGWA MARUFUKU NIGERIA
Vilabu vinne ambavyo vilihusika na njama ya kupanga matokeo ya mechi vimepigwa marufuku nchini Nigeria.Katika mechi moja klabu moja iliilaza nyingine magoli 79-0 na magoli 67-0 katika mechi ya...
View ArticlePARIS AKUTANA NA 'MAJANGA' YA POLISI
Mwigizaji mwenye heshima nchini Marekani Paris Hilton amejikuta akisimamishwa na polisi kutokana na kuendesha gari kwa mwendo kasiParis alikutana na kisanga hicho huko Beverl Hills, ambapo alikuwa...
View ArticleMAPYA YAIBUKA KWA 'MASOGANGE' AFRIKA KUSINI
Baada ya wasichana wawili raia wa Tanzania Agnes Gerald 'Masogange' pamoja na Melisa Edward waliokamatwa ijumaa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini kwa kukutwa na kilo 150...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE MSIBA WA MAMA YAKE PROF JAY
Baba yake Professa Jay akiweka mchanga kaburini Professa Jay akiweka mchanga kaburini Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Haule 'Professa Jay' akisali katika kabuli la mama yake mara baada ya...
View ArticleWASANII WAJUMUIKA KUMZIKA MAMA YAKE PROF JAY
Profesor Jay akiwa ameshikiliwa na baadhi ya ndugu zake baada ya kumaliza kuweka shada la maua katika kaburi la mama yake Kaka yake na Profesor Jay akiweka shada la maua katika kaburi la mama yake leo...
View ArticleWANARISDHA WAKUMBWA NA KASHFA NZITO YA MADAWA
Wanariadha wawili kati ya wanariadha wenye kasi kubwa duniani -- Tyson Gay(Pichani Kushoto), kutoka Marekani na Asafa Powell(Pichani Kulia) wa Jamaica -- wamepatikana na kosa kutumia madawa ya...
View ArticleMAREKANI YAPELEKA UJUMBE MZITO MISRI
Marekani imemtuma Naibu Waziri wake wa Mambo ya Nje, William Burns Cairo, Misri kwa ajili ya mkutano na viongozi wa serikali ya mpito wanaoungwa mkono na jeshi la nchi hiyo.Hii itakuwa ni ziara ya...
View ArticleWAFUNGWA MARUFUKU KUONANA NA WAANDISHI WA HABARI
Wakati serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuweka wazi kuwa wafungwa wako huru kuzungumza na waandishi wa habari, kwa upande wa Jeshi la Magereza nchini limesema wafungwa hawaruhusiwi kisheria kuzungumza...
View ArticlePIGO, WANAJESHI 7 WAUWAWA DARFUR
Wanajeshi 7 kati ya 36 wameuwa Darfur, mauaji wa wanajeshi 7 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliokuwa wanalinda amani Darfur, Sudan wauwaa baada ya kushambuliwa na waasi wa...
View ArticleJUSTINE BIEBER AMUOMBA MSAMAHA BILL CLINTON
Baada ya muimbaji nyota wa muziki wa Pop Justine Bieber kuripotiwa kukojoa katika ndoa kwenye mgahawa, muimbaji huyo ameamua kuomba msamaha kwa kitendo hicho alichokifanyaMuimbaji huyo, amempigia simu...
View ArticleKUNDI LA 'TNG' KURUDI, LAACHIA 'CRAZY MAN' ROSE NDAUKA NDANI
HATIMAYE msanii wa filamu nchini Rose Ndauka ameamua kuugeukia muziki wa kizazi kipya kwa kuingiza sauti kwenye nyimbo aliyoshirikishwa inayojulikana kwa jina la 'Crazy Man'.Rose ameshirikishwa...
View ArticleDARUBINI YA NASA (HUBBLE) YAGUNDUA MWEZI MPYA
Darubini ya anga ya Hubble ya Nasa imegundua mwezi mpya unaozunguka sayari ya Neptune, Nasa imedhibitisha habari hizo.Kwa mujibu wa habari za mtandao wa BBC kitengo cha sayansi na mazingira, mwezi huo...
View ArticleIPHONE 5 YAUA MTU
APPLE KUCHUNGUZAKampuni ya Marekani ya Apple Inc inachunguza tuhuma za China kwamba mwanamke aliyekufa baada ya kupigwa shoti ya umeme alipokuwa anajaribu kupiga simu kwa kutumia Iphone5 wakati...
View Article