ASKOFU ANGLIKANA ATIMULIWA KWA UFISADI WA MILIONI 521.4
(KUSHOTO) Mchungaji Andrew Kashilimu,ambaye ni Mwenyekiti wa Nyumba ya wahudumua wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) akisoma tamko la Wachungaji hao la kumfzi ya Uaskofu, Askofu...
View ArticleUNESCO YAPENDEKEZA SILAHA ZIDHIBITIWE HARAKA NYARUGUSU
Kutoka kushoto Rehema Horera wa UNESCO, Sospeter Boyo Mkuu wa Makazi ya Ulyankulu na Emmauel Mlule wa UNESCO Tume ya Taifa Na ImmaMatukioTume ya Taifa ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la...
View ArticleWIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YASHTUSHWA NA KASI YA DAWASCO.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASCO) Mhakndisi Cypian Luhemeja akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Mbogo Mfutakamba...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMJULIA HALI FREDRICK SUMAYE
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAFARIJI FAMILIA YA NYERERE KWA MSIBA WA LETICIA NYERERE
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku wanafamilia wakiangalia, nyumbani kwake, Msasani, jijini Dar es Salaam...
View ArticleWAZIRI UMMY ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO, KIJIJI CHA MPINGI SONGEA
Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo...
View ArticleMBUNGE NASSARI ATEMBELEA KARAKANA YA VIFAA TIBA NCHII CHINA
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China. Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa...
View ArticleBALOZI WA RWANDA AKUTANA NA MBUNGE WA EALA, SHY-ROSE BHANJI
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy-Rose Bhanji, (kushoto), akipeana mikono na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Mh.Eugene Kayihura ofisini kwa balozi Masaki jijini Dar es Salaam, Jumatano Januari...
View ArticleMFUKO WA PPF WASAIDIA KITUO CHA AFYA MISASI
Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Ziwa, Meshach Bandawe, kushoto akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Misungwi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia),msaada wa magodoro 20 na mashuka 20...
View ArticleALIYEKUWA MISS TANZANIA 1998, APATA SHAHADA YA UZAMILI
Pongezi nyingi kwa Basilla Mwanukuzi (Miss Tanzania 1998) kwa kutunukiwa stashahada ya uzamili -PGD katika menejimenti ya uhusiano wa kimataifa jana tarehe 13th January 2016 katika chuo cha diplomasia...
View ArticleMILIPUKO YA MABOMU YATOKEA JAKARTA (BBC)
AFPImage Maafisa wa usalama wamezingira eneo hiloMilipuko ya mabomu imetokea katika jiji kuu la Indonesia, Jakarta na baadaye ufyatulianaji mkali wa risasi na watu watatu wanahofiwa kufariki. Milipuko...
View ArticleBAADHI YA WANAOTUMIA INTERNET EXPLORER HATARINI
Microsoft imetangaza kwamba imeacha kutoa usaidizi wa kiufundi kwa matoleo ya awali ya kisakuzi chake cha Internet Explorer na kuwaweka hatarini mamilioni ya watu wanaotumia matoleo hayo.Mabadiliko...
View ArticleKITUKO: NICKI MINAJI AJIPIGA MWENYE INTERVIEW KAMA MWANDISHI
Dada anavituko, acha tu…kama umekuwa unamfuatilia Nicki Minaj katika mitandao ya kijamii, wiki hii alikuwa na ugomvi na Farrah Abraham, huku pamoja na hilo akiwa akijikumbusha mambo kadhaa wakadha ya...
View ArticleSERIKALI YALIFUTA GAZETI LA MAWIO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifuta kutoka katika Daftari la Usajili wa Magazeti, gazeti la “MAWIO”. Amri ya kulifuta gazeti hilo imetolewa kwa Tangazo la Serikali Na. 55...
View ArticleWAZIRI NAPE AVIONYA VYOMBO VYA HABARI
Wamiliki wa vyombo habari,wahariri,waandishi na watangazaji wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni, na taratibu za taaluma ya uandishi wa habari ili kujenga heshima ya tasnia hiyo na kulinda amani ya...
View Article