UHAMIAJI WAKABIDHIWA UBINGWA KOMBE LA MUUNGANO MCHEZO WA NETBALL
Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano kwa Kepteni wa Timu ya Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu katika Uwanja...
View ArticleWARAGHABISHI WA OLOLOSOKWANI, LOLIONDO WAPIGWA MSASA
Mraghbishi Kootu Tome (wa pili kushoto) akiwa na mtendaji wa kijiji Rabie Lebuna (mwenye shati la njano) na Mwenyekiti wa Kijiji, Kerry Dukonya (wa pili toka kulia). Na Kisuma Mapunda,LoliondoSasa ni...
View ArticleHOSPITALI YA APOLLO YAFANIKIWA KUPANDIKIZA WA MOYO NA INI KWA KIJANA
Ponnar(wa nne kutoka kulia), kijana aliyefanyiwa upandikizaji wa Moyo na Ini kwa pamoja, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa hospitali ya Apollo baada ya upandikizaji. Aliyemkumbatia ni...
View ArticleLIGI KUU YA ZANZIBAR MAFUNZO vs KMKM ZATOKA SARE 1-1
Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya KMKM akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo...
View ArticleTIGO YAFIKIA WATU MILIONI 1 KWA MTANDAO WA FACEBOOK
Kampuni ya Tigo Tanzania hivi karibunii metangaza kufikisha wafuasi milioni moja katika mtandao wao wa Facebook. Katika ukarasa wake wa Facebook, www.facebook.com/TigoTanzania kampunii lifikisha mfuasi...
View ArticleTIGO PESA YAWAONGEZEA UWEZO MAWAKALA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano...
View ArticleNEW RELEASE: KALA JEREMIAH - MALKIA (OFFICIAL VIDEO & LYRICS)
LYRICSSong: MALKIAArtist: KALA JEREMIAHINTRO: Plexity Records, 0444, Never Done before,The Heavy Touchz Producer Zest.(VERSE 1 )Umbo rangi sura,Nywele macho midomo shingo kifua tumbo rula,We ndo mke...
View ArticleAFYA YA UTI WA MGONGO NI UMUHIMU - DK. GULATI
Dr Yash Gulati, Senior Spine and Joint Replacement Surgeon at Apollo Hospitals; DelhiNa Mwandishi Wetu,Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi...
View ArticleUONGOZI TAHLISO WAAPISHWA, WAUNGANA NA KASI YA MAGUFULI
Mwenyikiti mpya wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania TAHLISO Ndugu STANSLAUS PETER akila kiapo kulitumikia shirikisho hilo mbele ya mwanasheria HAMZA JABIRI leo Jijini Dar es...
View ArticleKIJIJI CHA SHENDA, GEITA WALALAMIKIA UCHAFU ULIOTUPWA 9 DISEMBA
KUSHOTO: Huo ndio uchafu uliotupwa katika kijiji cha shenda siku ya tarehe 9 Disemba ambapo ilikuwa siku ya usafi kwa nchi nzimaKrantz Mwantepele,GeitaWananchi wa kijiji cha Shenda katika kata ya...
View ArticleWAKAZI WA MBOGWE WAPATA UJASIRI BAADA YA MAFUNZO YA URAGHABISHI
KUSHOTO: Mkazi wa Kijiji cha Shenda, Halidi Abdul chenye wakazi wapatao 2,800 katika kata ya Masumbwi wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, akihojiwa na mtangazaji wa redio free africa william bundala...
View ArticleWARAGHBISHI WILAYANI KAHAMA WAPANIA KUMKOMBOA MWANAMKE
Wanawake ni nguzo muhimu sana katika uchumi wa watanzania wengi. Mwanamke ana ushawishi mkubwa na hasa pale anapoamua kuwa chachu ya maendeleo. Na hasa anapowezeshwa kufanya hivyo.Katika kufanikisha...
View ArticleLIGI KUU YA ZANZIBAR KVZ YASHINDA 2-0 DHIDI YA JKU
Wachezaji wa Timu ya JKU wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya KVZ kabla ya kuaza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda 2--0.Mchezo uliochezwa...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KAZI, VIJANA NA AJIRA, AFANYA TIGO
Naibu waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde akizungumza na wafanyakazi wa tigo baada ya kufanya ziara mapema leo katika makao makuu ya Tigo kijtonyama jijini Dar es Salaam...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATANGAZA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAPYA (AUDIO)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;1. Katibu Mkuu...
View ArticleMAZOEZI YA BONAZA MATEMBEZI YA WANAMICHEZO WA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Matembezi ya Bonaza la Wanamichezo wa Zanzibar akiongoza matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya...
View ArticleKARIMJEE YAKABIDHI SCHOLARSHIP ZA IRELAND KWA WASHINDI WA 2015
Wanafunzi John Method (kushoto) na Edwin Luguku (wa pili kulia) kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe mkoani Morogoro wakipokea hati zao za ufadhili kutoka kwa Karimjee na Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini,...
View ArticleSELFIE KWENYE IPAD YA WIZI ZAWAPONZA, POLISI YAWATAFUTA
Watu wawili waliojipiga picha ‘Selfie’ wa kutumia ipad ya wizi wanatafutwa na polisi. Polisi walipewa taarifa ya baada ya picha kadhaa kutumwa kwa mmiliki halali kwa kutumia mtandao wa iCloud.(Moja ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE HAMAD MASAUDI ATEMBELEA JIMBO LAKE
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo kwa sasa ni Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim...
View Article