MEGATRADE YAVIPIGA JEKI CHUO KIKUU NA CHAMA CHA SOKA KILIMANJARO.
Meneja masoko wa Kampuni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha,Edmund Rutaraka akimkabidhi hundi ya kiasi cha shilingi Milioni 1.5 ,katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro ,KRFA,Mohamed Musa...
View ArticleRIPOTI YA RUSHWA BARANI AFRIKA KUZINDULIWA, TANZANIA PIA IPO
Transparancy International, inategemea kuchapisha utafiti unaoangalia maoni ya watu uzoefu na mtazamo wao kuhusu masuala ya rushwa katika nchi 28 barani Afrika.Maandalizi ya ripoti hiyo iitwayo People...
View ArticleWAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA BANDARINI,ATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA...
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maofisa watano na watumishi watatu wa mamlaka ya mapato Tanzania(TRA)kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh.bilioni...
View ArticleMAKAKAMA TANZANIA BEGA KWA BEGA NA WAANDISHI WA HABARI
Jaji kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania Shaaban Lila amesema kuwa majaji wa Tanzania wanabusara katika kufanya maamuzi yao na ndio maana hata vyombo vya habari nchini hata vinapowachafua hawaangaiki...
View ArticleTANZIA:ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA SHUGHULI ZA BUNGE BI.HELLEN MBEBA...
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah, anasikitika kutangaza kifo cha mtumishi wa Bunge, Bi. Hellen Stephen Mbeba (36), aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi-Shughuli za Bunge, kilichotokea ghafla leo Ijumaa...
View ArticleKAMANDA MPINGA AZINDUA OPARESHENI YA PAZA SAUTI DAR
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani,DCP Mohamed Mpinga, akisalimiana na Mabalozi wa Usalama Barabarani, muda mfupi kabla ya kuzindua Operesheni ijulikanayo kwa jina la “Paza Sauti” yenye lengo...
View ArticlePICHA: RAIS MAGUFULI AAZIMISHA UHURU DAY KWA KUFANYA KAZI
Rais John Magufuli ameungana na watanzania wote kushiriki katika Siku ya Uhuru kwa kufanya usafi katika eneo la Ikulu Magogoni jijini Dar es salaam.Aidha, Rais Magufuli ameibadilisha siku ya...
View ArticleLUKUVI AAHIDI KUKOMBOA MASIKINI BAADA YA KUKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri wa maendeleo ya nyumba na makazi,William Lukuvi amesema atahakikisha wananchi maskini wanapata haki zao za kumiliki ardhi pamoja na kuwawezesha kuwa na makazi bora ya kuishi na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI NA KUKAMRIBISHA RASMI JANUARY...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Mhe. Jorge Luis Lopez, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Mhe...
View ArticleArticle 1
Historia inaonyesha panya walianza kufugwa nyumbanitangu karne ya 19. Wengi wakiwa ni panya wa kahawia lakini hata weusi na ‘Giant pouched rats’(wanaopatikana Jangwa laSahara) nao pia hufugwa.Panya...
View ArticleWAHITIMU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI YALIYOFANYIKA CHUO CHA UONGOZI JKT...
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT...
View ArticleWARAGHBISHI WA KIJIJI CHA NYANDEKWA KUMKOMBOA MWANAMKE
Baadhi ya waraghabishi wa kijiji cha Nyandekwa Wilayani Kahama wakiongea na waandishi wa habari waliofika kijijini hapo kwa ajili ya kujionea matokeo mbali mbali baada ya waraghabishi kuwasaidia...
View ArticleMWILI DOTTO WA JAMII FORUMS WASAFIRISHWA KWENDA SAME
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea...
View ArticleWATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI SHINYANGA WAPIGWA "TAFU "
Sehemu ya chakula mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kilichotolewa na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo kwa kituo cha kulelea watoto yatima na...
View ArticleSKENDO MISS UNIVERSE: MTANGAZAJI AMVISHA TAJI NA KUMVUA MISS, AMVISHA...
Katika tukio lisilokuwa la kawaida na la kushangaza pengine laweza kuwa funga mwaka 2015, likiwa linarushwa moja kwa moja katika runinga ulimwenguni, mwanavichekesho maarufu duniani, Steve Harvey kw...
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana naMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa...
View ArticleRAIS ASHIRIKI MAZISHI YA DADA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, MSOGA
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji mke wa Rais Mtaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kuhudhuria mazishi ya Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, dada wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete...
View Article