Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

UHAMIAJI WAKABIDHIWA UBINGWA KOMBE LA MUUNGANO MCHEZO WA NETBALL

$
0
0






Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano kwa Kepteni wa Timu ya Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu katika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kuifunga Timu ya JKU ya Zanzibar kwa mabao 38---25























Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles