SASA UNAWEZA ANGALIA TELEVISION KWA SIMU ZA MKONONI
Dar es Salaam, Tanzania 19 Novemba 2015, kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua huduma ya ziada itakayowawezesha wateja wake nchi nzima kuangalia vipindi vya televisheni katika vituo vya...
View ArticleBREAKING NEWS: MAGUFULI AHAMISHIA MIL 235 ZA SHEREHE YA WABUNGE KUNUNUA...
RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMEMUAMBIA SPIKA WA BUNGE AHAMISHIE SHILINGI ZAIDI YA MILIONI 235 ZILIZOTOEWA NA WAFADHILI KWAAJILI YA SHEREHE YA KUFUNGUA BUNGE LA 41 MJINI DODOMA KWAAJILI YA KUNUNUA...
View ArticlePANONE FC YASONGA MBELE LIGI YA SHIRIKISHO YA AZAM,YAIFUNGA POLISI 2 - 1.
Wachezaji wa timu ya soka ya Panone fc wakipasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mchezo wa ligi ya shirikisho inayodhaminiwana Azam. Wachezaji wa timu ya Polisi Dar wakipasha misuli moto kabla ya...
View ArticleKANDA YA KASKAZINI WAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako...
View ArticleMILEY CYRUS KAZIDISHA. . ., AMNYONYA DANCER WAKE MATITI JUKWAANI (ANGALIA PICHA)
Tunajua kichaa chake, usiku wa alhamisi iliyopita, Miley Cyrus (KUSHOTO PICHANI) alifanya kituko ambacho hakijawahi kutokea akiwa jukwaani, wakati akifanya onesho la kukata na shoka jijini...
View ArticleARUSHA SASA KUFURAHIA INTANETI YA KASI ZAIDI KUTOKA TIGO
Arusha, Novemba 18 2015. Wateja wa Tigo waishio Arusha sasa wanaweza kupata mtandao wa intaneti wenye kasi kubwa zaidi kufuatia upanuzi wa upatikanaji wa huduma ya 4G LTE hadi kufikia jiji hilo lilopo...
View ArticleJAMAA ALIYEBADILI JINSIA AJIUA, KISA KAHUKUMIWA KWENDA JELA YA WANAUME
Mwanaume aliyebadili jinsia na kuwa mwanamke aliyetishia kujiua iwapo angepelekwa jela ya wanaume, amekutwa amekufa. Vicky Thompson (PICHANI KULIA), mwenye umbra wa miaka 21, alihukumiwa kifungo cha...
View ArticleWAKENYA WAJIANDAA KUMPOKEA PAPA FRANCIS, ULINZI KUIMARISHWA
Serikali ya Kenya imesema maandalizi ya kumlaki Papa Francis nchini Kenya yamekamilika na ziara yake inatarajiwa kuwa ya kufana.Kwenye kikao na wanahabari, Msemaji wa Ikulu Manoah Esipisu na Inspekta...
View ArticleSTANDARD CHARTERED BANK YAPATA MKURUGENZI WA KWANZA MTANZANIA
SANJAY RUGANI Â MKURUGENZI MKUUSTANDARD CHARTERED BANK TANZANIAÂ
View ArticleBIMA YA AFYA NHIF YAKANUSHA KUDAIWA NA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini umekanusha kuwepo kwa madai yaliyotolewa na Hospital ya Rufaa Mkoani Mbeya kuwa wanaudai Mfuko jumla ya shilingi bilioni 2 na...
View ArticleBREAKING NEWS:SHEREHE ZA UHURU KUTOFANYIKA MWAKA HUU
“Rais Dr. John Pombe Magufuli ameamuru kuwa siku ya Uhuru yaani 9 December hakutakuwa na shamra shamra zozote watu wote watafanya usafi wa mazingira ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu kwa maana...
View ArticleMBUNGE WA CHUMBUNI APOKELEA NA WAPIKA KURA KWA SHANGWE AKITOKEA DODOMA
Mhe Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akipongezwa na Mke wakati alipofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma kuhudhuria...
View ArticleRC KILIMANJARO AKUTANA NA MAOFISA WA MANISPAA KUJADILI HOFU YA KIPINDUPINDU
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ATETA NA MTANDAO WA WANAWAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na uongozi wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania (WFT) ambapo amezungumzia dhamira ya serikali katika...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI KUFANYIKA SINGIDA
Maambukizi ya ukimwi yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne iliyopita, ambako kundi lililokuwa limeathiriwa zaidi lilikuwa miaka...
View ArticleFAMILIA YA MTOTO ALIYESINGIZIWA KUBEBA BOMU YADAI BILIONI 32
Familia ya mtoto wa Kiislamu aliyekamatwa baada ya kubuni na kutengeneza saa yake na kuipeleka shuleni kisha kudahiniwa kuwa amebeba bomu, wanadai fidia ya dola milioni 15(sawa na takribani shilingi...
View ArticleBINTI ALIYEJIUNGA ISIS APIGWA MPAKA KUFA ALIPOJARIBU KUTOROKA
Samra Kesinovic, 17, pichani kushoto aliondoka Austria mnamo 2014 mwezi aprili akiwa na rafiki yake Sabrina Selimovic, imedaiwa amepigwa na magaidi wa kundi la magaidi wa Kiislam wa ISIS mpaka kupoteza...
View ArticleUZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA MANYARA, ARUSHA,K'NJARO
Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini .Wanafunzi wa kozi ya awali ya Askari Polisi kutoka shule ya...
View Article