WALIMBWENDE WANAOWANIA TAJI LA MISS UBUNGO
Hawa ndio warembo wa Miss Ubungo, kama wanavyoonekana wakiwa kambini kama walivyokutwa na kamera yetu.
View ArticleINADAIWA HUYU NDIO BINTI ALIYEBAKWA NA MUME WA FLORA MBASHA
Imedaiwa kuwa huyu ndio binti shemeji mwenye umri chini ya miaka 17, anayedaiwa kubakwa na mume wa msanii wa nyimbo za injili, Flora Mbasha katika sakata linaloendelea kwenye magazeti pamoja na...
View ArticleBREAKING NEWS: JOKA LAIBUKA NA KITAMBAA CHENYE MAANDISHI YA KIARABU ARUSHA...
Inadaiwa nyumbani kwa mtu mmoja(jina tunalo) jijini Arusha, eneo la Sakina kaibu na Hotel 2000 (pichani) ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya clearing and forward kumetokea joka kubwa lenye kitambaa...
View ArticleBREAKING NEWS: MH. KOMBA AIBIWA SIMU KISHA PICHA ZASAMBAZWA AKIWA NA...
Mtu asityejulikana ameiba simu ya Mbunge (CCM), John Komba kisha kuanza kusambaza meseji pamoja na picha(KUSHOTO NI MOJA) za Mbunge huyo katika mitandao ya kijamii.Hilo laweza kuwa sio tatizo sana,...
View ArticleFLAVIAN MATATA AZIDI KUJICHANGANYA NA WATU MAARUFU DUNIANI
Flavian Matata(kushoto) akiwa na Russel Simons(mwanaume), katika usiku wa kuwapongeza Simons na Kimora kwa mchango wao uliosababisha kuleta mabadiliko ya watu wengi maishani.Chini: Flavian Matata...
View ArticleNA HAYA NDIO MAELEZO ZAIDI YA MH.KAPT.JOHN KOMBA, MBUNGE WA MBINGA
Kuhusiana na hizi picha 2 zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuznia asubuhi ya leo, zikimuonyesha Mheshimiwa Mbunge huyo wa CCM Kapteni John Komba (PICHANI KULIA) akiwa kwenye mahaba na Mwanadada...
View ArticleSAFARI YA KUUPELEKA MWILI WA GEORGE TYSON NCHINI KENYA KWA MAZISHI(PICHA 9)
JUU: Caroline Okumu, dada wa marehemu akiwa uwanja wa ndege na baadhi ya wanafamilia kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kenya.CHINI: Benson Okumu, mdogo wa Marehemu akiwa na mtoto wa marehemu Sonia...
View ArticleBREAKING NEWS: MSANII MWINGINE AMEFARIKI, NI MZEE SMALL
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku wa jana tarehe 7/6/2014 saa 4 usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki...
View ArticleDIAMOND ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA SOMA HAPA
Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili...
View ArticleMTV MAMA AWARDS KURA HAZIKUTOSHA KWA DIAMOND PLATNUMZ, NI DAVIDO
Davido akiwa na tuzo zake janaTiwa Savage, ndie aliyeshinda kwa msanii bora wa kike Afrika katika tuzo za MTV Mama Afrika
View ArticleMBUNGE WA ARUMERU MAHSARIKI AFUNGA NDOA JANA (PICHA 4)
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Mh. Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika...
View ArticleHAWA NDIO WASHINDI WOTE WA TUZO ZA MTV MAMA AFRICA JANA
TIWA SAVAGE (KUTOKA NIGERIA)Artist of the Year:Davido (Nigeria)Best New Act Stanley Enow (Cameroon)Best Rap artisteSarkodie(Ghana)Song of the Year:Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)Best...
View Article