KIKWETE NA DIAMOND USO KWA USO, MANHATTAN, NEW YORK
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete masaa machache yaliyopita alipokutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, Manhattan, katika jiji la New York.
View ArticleWANAWAKE WABAKWA GEREZANI
Utafiti uliofanywa na shirika moja la misaada Uingereza umeonesha kuwa ubakaji unatumiwa tena kwa kiasi kikubwa gerezani kama adhabu kwa wanawake wanaojihusisha na masuala ya siasa nchini Jamhuri ya...
View ArticleMAREKANI IMECHEMSHA KUWAACHIA WATALIBAN 5
Serikali ya Afghanistan imeghadhabishwa na makubaliano ya Marekani kukubali kuwaachia huru wanamgambo watano wakuu wa Taliban, ili kuachiwa huru kwa mwanajeshi wa Marekani. Wafungwa hao kutoka gereza...
View ArticleMAPENZI YA MAMA NI YA KWELI, ANGALIA HII PICHA INA UJUMBE KWENU WOTE
Hapo juu ni picha ya kobe mzazi mwenye umri wa miaka 140, akiwa amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa siku tano katika bustani ya wanyama Nyiregyhaza, iliyoko nchini Hungary
View ArticleZIARA YA DIAMOND MAREKANI YAWEZA KUZAA MAFANIKIO MAKUBWA?
Diamond Platnumz juu kabisa akiwa na Kevin Liles, chini ni Kevin Liles akiwa na Nicki Minaj, Kevin Liles ni kati ya waaznilishi na wamiliki wa makampuni ya muziki nchini Marekani, kwa sasa umaarufu...
View ArticleWASICHANA 14 WA KIHINDI WAFICHWA MSASANI ILI KUUZWA KWA WANAUME JIJINI(VIDEO)
Askari wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao...
View ArticleKUFURU: WACHINA KUJENGA MJI CHINI YA MAJI HIVI KARIBUNI
Wachina wameanza kupitiliza, Kampuni moja nchini China inampango wa kutimiza ndoto yake kuwa kweli. Kampuni hiyo ya ujenzi “China Communications” inashirikiana na kampuni ya ubunifu ya AT Design Office...
View ArticleMAZISHI YA MTOTO WA BOXI YANAENDELEA MOROGORO SASA HIVI (PICHA LIVE)
Baba wa mtoto Nasra Mvungi, Rashidi Mvungi akiwa na majonzi katika shughuli ya mazishi ya mwanae. Chini: Kaka wa marehemu Nasoro Rashidi Mvungi akiwa katika huzuni katika msiba huo.
View ArticleBREAKING NEWS: LAMPARD ATANGAZA RASMI KUONDOKA CHELSEA
Kiungo cha kati wa Chelsea Frank Lampard ametangaza kwamba ataondoka katika klabu hiyo baada ya kuichezea kwa miaka 13. Mchezaji huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 35 na ambaye ndiye mfungaji bora...
View ArticleHII KALI SANA: WANARIADHA WANAKUNYWA MAZIWA YA MATITI YA WANAWAKE WAZAZI
Wanariadha wanaume wamekiri kuanza kunywa maziwa ya Matiti kama njia ya kusisimua misuli yao badala ya kutumia madawa yaliyoharamishwa ambayo yanaongeza nguvu mwili. Kwa mujibu wa jarida la Mail kwenye...
View ArticleKOMBE LA DUNIA LAWASILI BRAZIL TAYARI KUSHINDANIWA, LAPOKEWA NA RAIS
Rais wa Brazil, Dilma Rousseff akipokea kombe la dunia rasmi kutoka kwa Rais wa shirikisho la kimataifa la soka duniani(FIFA) Joseph Sep Blatter, huku akishuhudiwa na Waziri wa Michezo wa Brazil....
View ArticleAZAMTV WAKABIDHI FEDHA KWA BODI YA LIGI MSIMU WA PILI
Kampuni ya Azam Media imetangaza kuwa tayari imeshatuma fedha kwa Bodi ya Ligi kiasi cha shilingi million 462 kwa ajili ya msimu wa ligi wa Vodacom kwa mwaka 2014/ 2015. Fedha hizo zimetolewa mapema...
View ArticleMAJANGA: KICHANGA CHAKUTWA KIMETUPWA MTAANI
Kichanga chakutwa kimekufa kikiwa kimetupwa katika maeneo ya kawe kama kinavyoonekana katika picha. Inadaiwa kuwa watoto mtaani walikuwa wanacheza wakakuta mfuko wakaokota na walipofungua wakakuta...
View ArticleTANZANIA NA UHOLANZI ZA SAINI MAKUBALIANO YA ANGA
Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akisaini mkataba wa makubaliano ya usafiri wa anga kwa ndege zinazokidhi viwango na Balozi wa Uholanzi kwa niaba ya nchi yake, jijini Dar es Salaam leo katika...
View ArticleUTAFITI WA GESI TANZANIA: WENGI WANAAMINI MATAJIRI NA SERIKALI NDIO WATANUFAIKA
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali...
View Article