Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497
↧

MBUNGE WA ARUMERU MAHSARIKI AFUNGA NDOA JANA (PICHA 4)

$
0
0
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Mh. Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.





↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Latest Images

Trending Articles