Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

DIAMOND ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA SOMA HAPA

$
0
0

Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema.... Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine...Next stop #BET!!!…



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Latest Images

Trending Articles