$ 0 0 Hapo juu ni picha ya kobe mzazi mwenye umri wa miaka 140, akiwa amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa siku tano katika bustani ya wanyama Nyiregyhaza, iliyoko nchini Hungary