SIMBA YAPATA PIGO, SHOMARI KAPOMBE ATIMKIA AZAM FC
Klabu ya Azam imefanikiwa kumsajili, beki anayeweza kucheza nafasi za kiungo pia, Shomary Salum Kapombe(Kushoto) baada ya jana kumsainisha Mkataba wa miaka mitatu.Katibu wa Azam Nassor Idrissa...
View ArticleBREAKING NEWS: KATIBU MKUU WA SIMBA ABWAGA MANYANGA
Baada ya wanachama wa klabu ya Simba kufunga mlango katika ofisi za klabu hiyo kwa kile wanachodai kuenguliwa kwa Michael Richard Wambura hawakuridhishwa Katibu Mkuu wa Simba Ezekiel Kamwaga amesema...
View ArticleSEMINA MAALUMU KWA WANAKARATE WENYE MKANDA MWEUSI NA KIJANI
Chama cha mchezo wa karate hapa nchini (TASHOKA) kinatarajia kuendesha semina ya wazi kwa wanakarate wenye darajala wa mkanda wakijani na mweusi itakayofanyika juni 14 hadi 15 katika viwanja vya...
View ArticleSIMBA NA YANGA ZAPATA ACCOUNT MAALUM BENKI YA POSTA
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Juma Mkamia amelaani viongozi wanaowania nafasi za uongozi wa klabu ya Simba kuleta mgogoro jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo ya soka hapa...
View ArticleBREAKING NEWS: TAIFA STARS YAHUJUMIWA JIJINI HARARE, ZIMBABWE (SOMA HAPA)
Katika hali isiyo ya kawaida wachezaji wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, wamefungiwa vyumba vya hoteli waliyofikia mjini Harare, Zimbabwe, ambapo wapo kwa ajili ya mchezo wa marudiano na wenyeji...
View ArticleBREAKING NEWS: GEORGE TYSON AMEFARIKI DUNIA
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mtayarishaji Filamu wa Bongo Movie, George Tyson amefariki dunia. Tyson amepoteza maisha baada ya kupata ajali huku akiwa na wenzie 8. Katika ajali hiyo...
View ArticleTAIFA STARS INASHUKA DIMBANI LEO FAINALI YA AFCON 2015 MCHUJO, MAOMBI JUU YAO
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inashuka dimbani leo Uwanja wa Taifa wa Harare mjini hapa kumenyana na wenyeji Zimbabwe katika mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo ya Fainali za...
View ArticleBREAKING NEWS: MAMA YAKE MH. ZITTO AMEFARIKI DUNIA
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mama mzazi wa Mh Zitto Kabwe ambaye alikuwa mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA, Bi Shida Salum amefariki, Imma Matukio inatoa pole kwa Mh.Zitto na Familia...
View ArticleTAHADHARI PICHA INATISHA: MAJAMBAZI YAUA MTU ARUSHA SASA HIVI
PICHA: Mtu mmoja amepigwa risasi zisizojulikana idadi yake na kupoteza maisha katika eneo la Clock Tower Jijini Arusha na majambazi waliotoka kupora fedha katika duka la kubadilishia fedha la Northern...
View ArticleMANJI KUIONGOZA KLABU YA YANGA KWA MWAKA MWINGINE MMOJA
Mfadhili na Mwenyekiti wa klabu ya Young African, watoto wa Jangwani jijini Dar es Salaam, Milionea Yusuf Mehbub Manji, ataendelea kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo kwa mwaka mwingine mmoja.Katika mkutano...
View ArticleMATOKEO TAIFA STARS 2 ZIMBABWE 2, TANZANIA YAFUZU, KUKUTANA NA MSUMBIJI
Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kimesonga mbele na itakutana na Msumbiji katika hatua ya mwisho kuwania Kucheza makundi ya Kombe la Mataifa Afrika nchini Morocco, mwakani.Msumbiji imesonga mbele...
View Article