SAFARI YA MWISHO YA LANGA KILEO
Mwili wa msanii Langa Kileo ukishushwa kwenye gari teyari kwa ajili ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya mileleJeneza lililobeba mwili wa msanii Langa Kileo likishwushwa katika nyumba yake ya...
View ArticleKONYAGI YATOA SOMO KWA WABUNGE
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa, akionesha kinywaji cha Afrika Kusini kilichofungwa kwenye viroba kama ambavyo Konyagi inafanya hapa...
View ArticleZIARA YA KATIBU MKUU ITIKADI NA UENEZI CCM
Katibu mkuu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Nape Nauye akiwa ameongozana na mhalili wa mtendaji wa gazeti la majira (katikati) Imma Mbuguni akizungumza na waandishi...
View ArticleVURUGU ZA ARUSHA
Mji wa Arusha umekumbwa na tafrani ikiwa ni siku ya tatu toka kutokea mlipuko wa bomu lililouwa watu wa tatu na watu zaidi ya 70 kujeruhiwa katika lala salama ya kampeni za uchaguzi wa madiwani eneo la...
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI WAONGELEA VURUGU ARUSHA
The United States of America strongly condemns the June 15, 2013 bombing at a public rally organized by the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) political party in Arusha, which according to...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI
Kamishna wa oparesheni na mafunzo Tanzania Paul Kagonja akiongea na waandishi wahabari mkoani Arusha jana juu ya tukio la mlipuko wa bomu uliosababisha majeruhizaidi ya 70 na watu watatu kupoteza...
View ArticleBREAKING NEWS: SAIDA KAROLI AMETUTOKA
Mwanamziki Saida Karoli amefariki dunia kufuatia kuzama kwa boti alipokuwa safarini. Boti hiyo iliyokuwa inatoka Kisiwa cha Goziba ilizama baada ya kukumbwa na Dhoruba na kuzama Ziwa Victoria. Inadaiwa...
View ArticleLIL WAYNE AKANYAGA BENDERA YA MAREKANI
Kukanyaga bendera ya nchi yako ni wazi unaitusi nchi yako au ni kukosa heshima hayo ni maneno wanaojiuliza wamarekani walio wengi kutokana na kitendo alichokifanya mwanamuziki Lil Wayne kuikanyaga...
View ArticleDOLCE & GABBANA (D&G) JELA KWA KUKWEPA KODI
Wabunifu wa Kitalian Domenico Dolce (Kulia) na Stefano Gabbana wakifurahia umati wa wadau wa mitindo (hawako pichani) baada ya kuhitimisha maonesho ya mitindo ya nguo kwa msimu wa joto na kipupwe mwaka...
View ArticleMKALI WA ‘THE SOPRANOS’ AFARIKI AKIWA NA MIAKA 51
Habari za kusikitisha na pigo kubwa kwa wapenzi wa sinema duniani pamoja na wale wanaofuatilia ‘series’ tamthiliya haswa ile maarufu ya Sopranos wamekumbwa na msiba mkubwa baada ya msanii maarufu wa...
View ArticleTUMWOKOE MWAKILISHI WETU ILI TANZANIA ISHINDE
MPIGIE KURA "NANDO" BIG BROTHER THE CHASEMtanzania mwenzetu anaye tuwakilisha kwenye jumba la Big Brother katika shindani la 2013 Big Brother Africa 8 The Chase "Nando" amewekwa kwaajili ya...
View ArticleRAIS WA MPITO MISRI AMEAPISHWA
Jaji mkuu wa mahakama ya juu zaidi ya kikatiba ameapishwa nchini Misri kuwa rais wa muda baada ya jeshi kumng'oa mamlakani rais aliyechaguliwa na raia kwa njia ya kidemokrasia na kushinda kwa wingi wa...
View ArticlePEMBE HARAMU KUTOKA UGANDA ZANASWA KENYA
Pembe haramu za ndovu zilizokuwa zinasafirishwa kutoka Uganda hadi Malaysia, zimenaswa katika bandari ya Mombasa pwani ya Kenya. Pembe hizo zilikuwa zimefunikwa kiasi cha kufanana na samaki...
View ArticleBREAKING NEWS: MTANZANIA AUWAWA MAREKANI
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtanzania Omary Sykes (pichani juu) mwenye umri wa miaka 22 alivamiwa juzi na kupiwa risasi na vibaka akiwa Washington DC, alipokuwa anatoka chuoni, mwenzake...
View Article