Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

BREAKING NEWS: SAIDA KAROLI AMETUTOKA

$
0
0
Mwanamziki Saida Karoli amefariki dunia kufuatia kuzama kwa boti alipokuwa safarini. Boti hiyo iliyokuwa inatoka Kisiwa cha Goziba ilizama baada ya kukumbwa na Dhoruba na kuzama Ziwa Victoria. Inadaiwa katika ajali hiyo kuna watu kadhaa wamefariki dunia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles