Kamishna wa oparesheni na mafunzo Tanzania Paul Kagonja akiongea na waandishi wa
habari mkoani Arusha jana juu ya tukio la mlipuko wa bomu uliosababisha majeruhi
zaidi ya 70 na watu watatu kupoteza maisha
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimjulia hali mbungewa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(CHADEMA) ambaye alijeruliwa katika zoezi la uchaguzi kata ya makuyuni Wilayani Monduli
Baadhi ya wanachama wa chadema wakiwa katika mkusanyiko wakiwa na matawi wakitaka
kuingia ndani ya hosipitali alikolazwa mbunge wao nasari