BASI LA YANGA LIMEPATA AJALI NA VIONGOZI WAKIWEMO NDANI
Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm akitokea dirishani baada ya ajali iliyotokea Mikese asubuh hii. Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi...
View ArticleMATOKEO YA AWALI KALENGA, CCM INAONGOZA KATA 11 KATI YA 13
Taarifa za awali zimesema mgombea ubenge wa jimbo la Kalenga ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, ndie anaongoza katika kata 13 ambapo anaongoza katika katika 11, dhidi ya mgombea wa...
View ArticleCCM IMESHINDA
JIMBO LA KALENGA LINA KATA 13,JUMLA YA KATA 11 ZOTE CCM WAMESHINDA BADO KATA 2 TU,MATOKEO HAYA NI LIVE KUTOKA KALENGA HAPAMCHANGANUO MBALI MBALI WA MATOKEO Kata ya nzi kituo cha tanroad CCM 142,CDM...
View ArticleMAKUBWA: AJIPIGILIA MISUMARI KICHWANI, AISHI KIMAAJABU (ONA PICHA)
*AZUIA TAARIFA ZISIFIKE POLISIMtu ambaye hakuweza kujulikana jina lake mara moja ambaye ni Mchina, anaishi kwa maajabu baada ya kujipigilia misumari 3 yenye urefu wa cm 10 kwenye kichwa chake.Kama...
View ArticleRIHANNA 'MAHABA NIUWE' KWA DRAKE
Hatimiye mwanamuziki wa kike nchini Marekani Rihanna amethibitisha kutokuwa na mpango wa kurudiana tena na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Chris Brown baada ya kuweka wazi mahusiano yake mapya...
View ArticleNDAUKA AJIPA UBAROZI WA USAFI, ASHIRIKIANA NA WASANII KUSAFISHA JIJI
Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka akifanya usafi mtaa wa Rumumba eneo la Mnazimmoja huku akishirikiana na baadhi ya wasanii wenzake, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa kufanya...
View ArticleREHANA JAFFER AKABIDHIWA HUNDI YA SH. 500,000
Meneja mauzo wa kampuni ya Home Shopping Centra (HSC), Nathir Bahayan akimkabidhii Rehana Jaffer hundi ya sh.500,000 baada ya kushindwa zawadi hiyo katika mashindano yaliyokuwa yakiendeshwa na kampuni...
View ArticleUTAFITI : MAZOEZI MAKALI DAWA NZURI YA MAFUA
Kufanya mazoezi kunaweza kukusaidia kuodnokana na mafuaKufanya mazoezi makali katika kipindi cha saa mbili unusu kila wiki inaweza kukuzuia kupatwa na mafua.Hivi ndivyo utafiti uliofanywa na chuo cha...
View ArticleBREAKING NEWS: WARIOBA KUWAKILISHA RASIMU YA KATIBA LEO ASUBUHI
Jaji Warioba atawasilisha rasimu ya katiba leo Jumanne kwa saa takribani nne. Ataanza saa 3.30 asubuhi hadi saa 7.30 mchana.Baada ya vuta nikuvute ya jana bungeni, Mwenyekiti wa Bunge Maalum aliwaita...
View ArticleMSANII MAARUFU WA DANCEHALL, VYBZ KARTEL AUA NA KUKATAKATA MWILI
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dancehall reggae, Vybz Kartel na wenzie watatu wamekutwa na hatia kwa kosa la mauaji alhamisi 13/03/2014 katika kesi ya mauaji iliyokuwa ikiendeshwa chini ya ulinzi...
View ArticleWAZEE WA YANGA WAWEKA "SILAHA" CHINI…WAKUBALI YAISHE
Dar Es SalaamWazee wa Klabu ya Yanga jijini Dar es Salaam, wametoa tamko la kusitisha maandamano yao ambayo walikuwa wamepanga yafanyike kushinikiza serikali kutoa kibali cha ujenzi wa uwanja wao wa...
View ArticleJOSE MOURINHO BADO ANAMKUBALI SANA DROGBA
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa gwiji wa soka Didier Drogba angali mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani.Drogba anayesakata soka yake na klabu ya Galatasaray na ambaye aliondoka...
View ArticleKANYE WEST AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE CHA MIAKA MIWILI
Kanye West amepigana na waandishi wahabari pamoja na mapaparazi akijharibu kuzuia wasimpige picha yeye na mchumba wake Kim Kardashian hadharani wakati mahusiano yao yakiwa yamekolea mwaka jana.Pia...
View Article