FASHION : LOUIS VUITTON ATOKA NA MABEGI YATAKAYOTUMIKA KATIKA BMWi8
LouisVuitton has created carbon fibre luggage of the future for the BMWi8
View ArticleREAL MADRID YAICHAPA SCHALKE04, RONALDO AFUNGA 2
Mchezaji bora duniani mwaka huu Cristiano Ronaldo alifunga mabao mawili na kuisadia timu yake ya Real Madrid ya Uhispania kufuzu kwa hatua ya timu nane bora za ligi kuu ya mabingwa. Uropa baada ya...
View ArticleCHELSEA YASHINDA 3 - 1 DHIDI YA GALATA
Chelsea ndiyo timu ya pekee ya Uingereza iliyojihakikishia nafasi ya kushiriki mechi za robo fainali za ligi ya mabingwa barani uropa baada ya kuinyamazisha Galatarasay ya Uturuki mabao 2-0 katika...
View ArticleWATANZANIA 3 WANASWA NA DAWA ZA KULEVYA KENYA
Watanzania wanne juzi walifikishwa katika mahakama ya Kibera ambapo walikiri kosa la kusafirisha dawa za kulevya. Wanawake watatu na mwanaume mmoja walifunguliwa mashtaka kila mmoja kwa kosa la...
View ArticleMASTAR WETU: SNURA ANASWA KWA MGANGA!!, ONA PICHA HAPA
Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini, picha zinaonesha akiwa anapigiwa ndumba kwa sangoma, kweli majanga....
View ArticleMPIRA UMEKWISHA YANGA 1 AZAM 1, AZAM BADO IKO KILELENI
HAMISI KIIZA AKOSA PENATI, AZAM WARUDISHA GOLI WAKIWA 10 UWANJANIFILE PHOTOLive kutoka U/TaifaKatika mechi ya ligi kuu ya Vodacom, leo mabingwa wa Tanzania Bara watoto wa Jangwani Yanga Afrika...
View ArticleBREAKING NEWS: SHABIKI AFIA UWANJANI KATIKA MECHI YA YANGA NA AZAM
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, shabiki mmoja wa timu ya Azam FC amefariki dunia jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati timu hiyo ilipokuwa inacheza na timu ya Yanga.Shabiki...
View ArticleBREAKING NEWS : AJALI YA BASI LA MANING NICE NA BODABODA YAUA WAWILI LEO
Taarifa zilizotufikia leo zimesema kuwa ajali mbaya imetokea leo mchana na kusababisha watu 2 waliokuwa kwenye bodaboda kupoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa huku ikidaiwa kuwa hali zao sio mbaya...
View ArticleAMKATA MKEWE KIGANJA, ATUPWA JELA MIAKA 5
GeitaMkazi wa kijiji cha Bugarama,wilayani Geita, amehukumiwa kwenda jela miaka mitano,baada ya kupatikana na kosa la kumjeruhi mkewe, kutokana na wivu wa mapenzi.Aliyehukumiwa kutumikia adhabu hiyo,...
View ArticleBREAKING NEWS: PICCOLO BEACH HOTEL YA WAKA MOTO
Hotel ya Piccolo (pichani) iliyoko jijini Dar es Salaam pembezoni mwa ufukwe wa bahari ya Hindi katika eneo la Kawe, leo majira ya saa nane iliwaka moto eneo la restaurant na kusababisha vitu kadhaa...
View ArticleHOTUBA YOTE YA RAIS KIKWETE BUNGE LA KATIBA LEO ILITUMIA DAKIKA 155:46 (ISOME...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMAMheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa...
View ArticleMAADHIMISHO :TAARIFA YA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WADAU WOTEYah:Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na...
View ArticlePICHA ZA JK AKIZINDUA BUNGE MAALUMU LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
PICHA ZOTE NA IKULUMwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh.Samuel Sita akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aktika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ili kulihutubia na kuzindua Bunge maalum la...
View ArticleMAONI YA JULIUS MTATIRO KUHUSU HOTUBA YA RAIS KIKWETE (SOMA…)
HOTUBA YA RAIS KIKWETE HAIKUWATENDEA HAKI WATANZANIA, HAIKUITENDEA HAKI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, HAIKUMTENDEA HAKI JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA.Hakuja kama Rais wa nchi kuhutubia bunge la kihistoria...
View Article