NI SAMWEL SITTA, MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA
Mbunge wa CCM Samwel John Sitta (PICHANI JUU) ameshinda Kura 487 na ndiye mshindi na anakuwa Mwenyekiti mpya wa Bunge la Katiba.Hashim Rungwe Kura 69, zilizoharibika 7.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
View ArticleLIVE PICHA ZA MLIPUKO NEW YORK SASA HIVI, MMOJA APOTEZA MAISHA, 15 WAJERUHIWA
ANGALIA PICHA ZAIDI . . .
View ArticleMLIPUKO WA NEW YORK, 2 WAPOTEZA MAISHA, HALI ILIVYO SASA HIVI LIVE
Polisi wa jiji la New York wanasema watu wawili wamesha poteza maisha mpaka sasa kutokana na mlipuko huko East Harlem katika jumba ambalo limeporomoka. Katika tukio hilo watu wengine 17 wamejeruhiwa...
View ArticleTIMU YA TAIFA YA MALAWI IMEJITOA MICHUANO YA AFRIKA
Timu ya taifa ya soka ya Malawi, imelazimika kujiondoa kutoka katika mechi za kufuzu kwa kombe la taifa bingwa Afrika nchini Morocco mwaka 2015 kutokana na kukosa ufadhili.Uamuzi huo ulifikiwa baada ya...
View ArticleWAHUKUMIWA JELA MIAKA 242, KISA UTAKIONA HAPA
ShinyangaWakazi wawili wa kijiji cha Shatimba, Wilaya ya Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga wamehukumiwa kwenda jela miaka 242 gerezani na mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani humo kwa makosa mawili tofauti ya...
View ArticleMCHUNGAJI APIGWA KARIBU KUFA KWA KUTEMBEA NA MKE WA MUUMINI
Mchungaji Nyathi wa kanisa la Healing Ministries kutoka Bulawayo, nchini Zimbabwe amepigwa karibu kufa na mmoja wa waumini wa kanisa lake baada ya kubambwa kuwa ana mahusiano na mke wa muumini...
View ArticlePICHA YA LEO: KUMBE MAMBA HAKUNA KITU, ANGALIA ANAVYO GARAGAZWA NA DUMA LIVE
HAPA JUU NATAKA UONE TU JINSI MAMBA ANAVYONYANYASIKA ANAMYATIA. . .KWENYE MAJI ANAMFUATILIA . . .JAMAA HAJAGUNDUA KUWA HALI INAANZA KUWA MBAYA. . .ANGALIA ZAIDI . . . ALIPOTAKA KUKIMBIA AKANASWA. ....
View ArticleYANGA YANGURUMA, YAMJIA JUU MEYA WA ILALA, YAMPA SIKU 5 TU
Uongozi wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umetoa siku tano kwa Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa kuwapatia kibali cha kutengeneza uwanja wa Jangwani(PICHANI KUSHOTO).Akizungumza na...
View ArticleMASUPER STAR WETU: HAPPY BIRTHDAY MWANA FA
LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA MWANA FA, IMMA MATUKIO BLOG WISHES YOU A HAPPY BIRTHDAY, MAKE THE MOST OF IT BRO.
View ArticleKUNDI JIPYA LAZUA VURUGU ZANZIBAR, LAHARIBU MALI ZA SERIKALI
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa kikundi cha vijana Zanzibar kinachojiita UbayaUbaya kimeanza kuleta vurugu na kuanza kupiga mawe magari ya serikali huku wakijerui wafanyakazi wa...
View ArticleTAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE .FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUFDHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...
View ArticleBREAKING NEWS:BOSS WA BAYERN MUNICH JELA MIAKA MITATU NA NUSU
Bosi wa timu ya Bayern Munich, Uli Hoeness(PICHANI) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kwenda jela na mahakama ya Ujerumani kwa kosa la kukwepa kodi.Bosi huyo wa klabu maarufu...
View ArticleDUH: KWELI YANGA WAMEAMUA, WAOMBA RASMI KIBALI CHA KUANDAMANA
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa uongozi wa Klabu ya Dar es Salaam Young Africans, yenye makazi jijini, wamuandikia Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum jijini Dar es Salam kuomba kibali cha...
View ArticleHAYA MNAOTUMIA HEINEKEN BIA, HEINEKEN YASUSA KISA MASHOGA KUTENGWA
Katika taarifa iliyotufikia muda si mrefu, imeeleza kuwa kampuni mbili kubwa kuliko zote nchini Marekani za kutengeneza bia zimejitoa katika udhamini wa matembezi ya hiari ya siku ya Mtakatifu Patrick...
View ArticleMCHEZAJI ANELKA KAFUKUZWA KWENYE KLABU YAKE
Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefutwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu.Klabu hiyo iliamua kuchukua hatua hiyo baada ya Anelka kutangaza kupitia mtandao wa kijamii kuwa...
View Article