KUFURU: AJICHUA MARA 56, UUME WANYOFOKA, AWEKA REKODI YA DUNIA
Siku ya wapendanao ya Valentine iliisha kwa janga la ajabu baada ya kijana mdogo kujikuta akipoteza maisha baada ya kupiga nyeto mara 56 na kuweka rekodi ya dunia.Kijana mkazi wa Portland, Oregon...
View ArticleDUH MABIGI: HUYU MZUNGU TEJA BANA, AKUTWA LIVE HOI HAJITAMBUI
Mzungu ambaye hakuweza kutambulika jina na utaifa wake mara moja akiwa amelewa madawa ya kulevya yasiyojulikana akiondoka enero la tukio baada ya kukutwa na kamera yetu. Mzungu huyo alikutwa hoi mchana...
View ArticleFACEBOOK KUINUNUA WHATSAPP KWA USD BILIONI 16
Kampuni ya mtandao wakijamii ya Facebook imesema kuwa itanunua mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa kima cha dola bilioni kumi na sita, na nyongeza zaidi ya dola bilioni tatu...
View ArticleBAYERN MUNICH YAICHAPA ARSENAL 2 - 0
Timu za Uingereza zimezidi kuandikisha matokeo mabaya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Arsenal ilipigwa mabao mawili kwa bila na Beyern Munich ya Ujerumani katika mchuano wa robo fainali....
View ArticleKENYA YAANZISHA USHURU WA KUKU,KUCHINJA, KUAGA MAITI, N.K
Katika Kaunti ya Kiambu, inayoongozwa na Gavana William Kabogo, kuna ushuru mpya unaotozwa kwa familia iliyopoteza mpendwa ama wapendwa wao. Ushuru huo ambao ni matokeo ya katiba ya Kenya kushusha...
View ArticleONA JIJI ZURI LILIVYOOZA KWA MASAA MACHACHE, INASIKITISHA
Picha hii ilipigwa tarehe 22/04/2009, inaonesha eneo linaloitwa ‘Makutano ya Uhuru’ pia panajulikana kama Maidan, katika jiji la Kiev, nchini Ukraine pakiwa pia pana mnara wa Berehynia. Jiji hilo...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY JEMBE LA ZIMAMBWE, MZEE MUGABE
Mzee Mugabe akipuliza mishumaa kuashiria siku yake ya kuzaliwa, Rais Robert Mugabe wa Zimambwe leo anatimiza miaka 90, sherehe za kuzaliwa kwake zitafanyika mwisho wa mwezi februari, inadaiwa kwa sasa...
View ArticleAJALI MBAYA, WATU WOTE WATEKETEA NA KUBAKI MAJIVU
Ajali mbaya iliyotokea jumatano saa 07:40 mchana, iliyohusisha lori la kampuni la East African Company yenye namba za usajili T340AWW, aina ya Scania Tanker iliyokuwa na tela ya mafuta yenye usajili...
View ArticleRAIS WA TFF AKUTANA NA RAIS WA CAF, RAIS MSTAAFU
Rais wa TFF, Jamal Malinzi (KUSHOTO) alipokutana na Rais wa CAF Bw Issa Hayatou(KATIKATI) pamoja na Rais Mstaafu wa TFF Leodeger Tenga, jana.
View ArticleUSTAADHI ACHINJA MTOTO NA KUKIMBIA, AUAWA NA WANANCHI
Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar, ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam, ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi wake.Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa madrasa na...
View ArticleMAJANGA: MCHUNGAJI AFIA KWA MUUMINI (NYUMBA NDOGO)
Kasisi mmoja mashuhuri wa kanisa moja nchini Kenya alizimia na kufariki dunia katika hali ya kutatanisha akiwa ndani ya nyumba ya mwanamke ambaye sie mke wake. Tukio hili lilishuhudiwa katika mtaa wa...
View Article