MUSEVENI KUSAINI SHERIA YA USHOGA, KUFUNGWA MAISHA
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amekubali kusaini sharia ya kupinga ushoga nchini Uganda. Muswada huo ambao uliwakilishwa bungeni ambao ulikuwa unasubiri saini ya raisi utasainiwa ambapo mtu...
View ArticleWATU 106 WAUAWA, MWANAMKE NI MMOJA KATI YAO
Maafisa katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa zaidi ya watu mia mmoja wameuwawa katika shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram.Shambulizi...
View ArticleAJABU NA KWELI: AJIFUNGUA BAADA YA KUBEBA MIMBA MIAKA 4
Habari ya kushtua ya mwanamke mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume baada ya kubeba ujauzito kwa miaka minne imeendelea kuzua mjadala mkali.Bi. Oluchi Merife (Pichani akiwa amembeba Jeremiah) kabla...
View ArticleMAREKANI YAMCHIMBA MKWARA MZITO MUSEVENI
Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani...
View ArticleBREAKING NEWS: NDEGE YA ETHIOPIA IMETEKWA MUDA HUU
Ndege ya abiria ya shirika la ndege la Ethiopia iliyokuwa ikisafiri kutoka Addis Ababa hadi Rome, Italia, imetekwa nyara na kulazimishwa kubadili mkondo wake na kutua mjini Geneva Uswisi.Katika taarifa...
View Article12 YEARS A SLAVE YAZOA TUZO NYINGINE BAFTA
Chiwetel Ejiofor ametwaa tuzo katika BAFTA (British Academy Film Awards) 2014 iliyofanyika jana katika ukumbi wa London Royal Opera House, katika filamu ya ’12 Years a Slave’ kipengele cha Leading...
View ArticleHUYU NDIO MKURUGENZI MKUU MPYA WA EWURA
UTEUZIBWANA FELIX NGAMLAGOSITaarifa inatolewa kwa umma kwamba, kwa mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha Sheria namba 14(1) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Sura Na....
View ArticleINATISHA :NYAMA YA BINADAMU YAUZWA HOTELINI, 11 WAKAMATWA
Alhamisi iliyopita polisi walikamata watu 11, baada ya kukuta vichwa 2 vya watu katika hoteli (jina limehifadhiwa ) iliyoko karibu sana na soko maarufu la Ose-Okwodu, katika jimbo la Anambra,...
View ArticlePICHA YA LEO: MASSAGE YA UHAKIKA, YAWEZA KUKULAZA MILELE
HII MASSAGE YAWEZA KUKULAZA USIAMKE MILELE
View ArticleMAJANGA: AJITOA SADAKA KWA CHUI, AOKOLEWA KABLA YA KUTAFUNWA
Wafanyakazi wa zoo (eneo la kuhifadhi wanyama) huko China wamefanikiwa kuokoa maisha ya mtu ambaye anadaiwa kuwa na matatizo ya akili baada ya kutangaza kuwa anataka kuwaongeza afya ya chui...
View ArticleONYO KALI KWA VIGOGO WALIOHOJIWA CCM
CCM YAWAPA ONYO KALI LOWASA, SUMAYE, MEMBE, MAKAMBA, WASIRA NA NGELEJAKati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la...
View Article