Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

DUH MABIGI: HUYU MZUNGU TEJA BANA, AKUTWA LIVE HOI HAJITAMBUI

$
0
0



Mzungu ambaye hakuweza kutambulika jina na utaifa wake mara moja akiwa amelewa madawa ya kulevya yasiyojulikana akiondoka enero la tukio baada ya kukutwa na kamera yetu. Mzungu huyo alikutwa hoi mchana jana katika mgahawa ulioko karibu na eneo la Mnara wa Askari, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam.

CHINI ni picha zaidi za mzungu huyo akiwa na mwenzie ambaye pia hakutambulika mara moja utaifa wake.


ANGALIA PICHA ZAIDI. . .















Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles