HATIMAYE YULE MTOTO MWENYE SAMAKI TUMBONI AONGEA
BundaHali ya afya ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la nne, shule ya msingi Bwanza, kata ya Kisorya, wilaya ya Bunda mkoani Mara, aliyeingiliwa na samaki sehemu zake za...
View ArticleSKENDO: NAIBU WAZIRI WA FEDHA AIBUA UOZO SIRARI
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akikagua jengo la kituo cha pamoja cha huduma za forodha cha Sirari (OSBP) ambapo amemwagiza mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali John Henjewele na timu yake...
View ArticleUPINZANI WASUSIA UCHAGUZI, HATA HIVYO UCHAGUZI ULIENDELEA
Uchaguzi huo ulifanyika licha ya kususiwa na chama kikuu cha upinzani nchini Thailand.Asili mia kumi ya vituo vya kupigia kura vilifungwa kutokana na shinikizo la waandamanaji wanaopinga utawawala wa...
View ArticleMWANDISHI WA KITABU CHA JK AKUMBWA NA KASHFA NZITO USA
Dkt. Julius Nyang'oro akitoka mahakamni akiambatana na mkewe (wameshikana mikono, na mwanasheria aliyetangulia mbele huku wakizongwana waandishi wa habari.(picha kwa hisani ya mtandao)HILLSBOROUGH,...
View ArticleMECHI YA YANGA, MBEYA CITY JANA ILIINGIZA MIL 175,
Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Yanga na Mbeya City lililofanyika jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 175,285,000.Watazamaji 30,411 walikata...
View ArticleWAFANYAKAZI WA CCBRT WAFUNGUA KESI
WAFANYAKAZI 430 wa vitengo mbalimbali wa Hospitali ya CCBRT wamefungua kesi ya madai namba 843/13 dhidi ya uongozi wa hospitali hiyo Mahakama Kuu Kitengo cha kazi wakiiomba mahakama iwaeleze mishahara...
View ArticleJK ASHIRIKI SIKU YA SHERIA, SHEREHE ZAFANYIKA VIWANJA VYA MAHAKAMA
Jakaya Kikwete akipokelewa (katikati ) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kulia) leo mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye...
View ArticleWANAUME 28 WATAIRIWA KINGUVU NA DAKTARI FEKI SEBULENI
HaiDaktari bandia na mkazi wa kijiji cha Mudio kata ya Masama Mashariki,wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Athuman Kimaro, amewafanyia tohara kwa nguvu wanaume 28 wa kijiji hicho na kutishia afya zao...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba...
View ArticleMAN CITY 0 CHELSEA 1, ANGALIA JOSE ETI NDO KAFURAHI
JUU: "JOSE THE BOSS"…AKIWA MWENYE FURAHA BAADA YA MPAMBANOCHINI: HUYU JAMAA SIJUI ALIJIFICHA WAPI BAADA YA SHUGHULI..?GAZETI LA DAILY STAR LA NCHINI UINGEREZA LINAVYOONEKANA LEO
View ArticleMAJINA YA WALIOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA BANDARINI JANA
Shehena ya dawa za Kulevya ambayo thamani yake haijajulikana yakamatwa Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na madawa yanayodhaniwa kuwa ni Heron kilogram 201 ambapo raia wa Pakistan na Iran wapatao 12...
View ArticleKENYATA ATAMANI KUKWEPA CHAKULA CHA MISAADA
Rais Kenyatta akizindua msafara wa lori zilizobeba chakula cha msaada kwa waathiriwa wa njaaMaelfu ya watu wanaokabiliwa na uhaba wa chakula nchini Kenya wanatarajiwa kupata afueni baada ya Rais Uhuru...
View ArticleWEMA SEPETU: GUESS WHO THIS IS … MARTIN IN THE OLD DAYS
Posted by Wema Sepetu on instagram
View Article