MHINDI APIGWA NA WAHADHIRI WENZIE ST.JOSEPH UNI. SONGEA
ASINDIKIZWA DAR NA ULIZNI WA POLISIARUDI KWAO BAADA YA SHINIKIZO LA WANAFUNZISongeaKatika hali hisiyo ya kawaida siku chache zilizopita tangu wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph walipoandamana na...
View ArticleNAPE ASHIRIKI KUKATA NYASI, MAANDALIZI MIAKA 37 YA CCM
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuboresha uwanja wa Sokoine ikiwa sehemu ya maandalizi ya sherehe za miaka 37 ya CCM zitakazofanyiaka kitaifa mkoni Mbeya tarehe 2 Februari na...
View ArticleBREAKING NEWS: KIBANDA NA MAKUNGA WAACHIWA HURU
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Wahariri, Absolom Kibanda (New Habari) na Theophil Makunga (Mwananchi Communication - ALIEINUA MKONO) na mwandishi Samson Mwigamba wameachiwa huru na Mahakama...
View ArticlePOLISI TABORA WATUHUMIWA KUUA RAIA
Tabora Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeingia matatani baada ya kudaiwa kumpiga hadi kumuua mfanyabiashara mmoja katika soko la Kachoma, Manispaa ya Tabora, Amani Msimbe kwa kosa la kudaiwa shilingi...
View ArticleJANGA LA KUTISHA: 4 MBARONI KWA KUKUTWA NA KICHWA CHA MTU KWENYE SUFURIA
SumbawangaJeshi la polisi mkoani Rukwa linawashikilia watu wanne kwa tuhuma ya mauaji ya mwanamke mmoja aliyeuawa na kichwa chake kuwekwa kwenye sufuria ya kupikia ugali kasha kuwekwa kwenye uwanja wa...
View ArticleTANZANIA NA RWANDA, KUNA NINI HAPA HATUKIELEWI?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUbalozi wa Tanzania katika Rwanda usiku wa jana, Jumatano, Januari 29, 2014 ulitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwa...
View ArticleHII NDIO STORY YA UONGO YA GAZETI LA RWANDA KUHUSU KIKWETE
Ex-Pm Twagiramungu Confirms Reports Of Secret Tanzania TripThe ex-PM Faustin Twagiramungu (2nd from right) with RDI Rwanda Rwiza group leaders inside the conference hall in Lyon. News of Rwanda has...
View ArticleHII KIBOKO: TANZANIA PIA KUNA BARAFU (SNOW) ANGALIA PICHA HIZI
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma akiwa amepozi kwenye barafu kufuatia mvua za mawe zilizokuwa zinaendeleawilayani humo hivi karibuni kama anavyoonekana.Chini: ni eneo lililodondokewa na...
View ArticleMOHAMMED TRANS YAUA ASKARI POLISI WATANO JANA
Dodoma. ASKARI watano wa Jeshi la Polisi mkoani hapa walifariki dunia papohapo baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Mohamed Trans usiku wa...
View ArticleMASHOGA KUWAKILISHWA BUNGENI, WATATEUA MGOMBEA WAO
Shughuli ya kupiga kura Afrika KusiniChama kipya kinachowatetea wapenzi wa jinsia moja kitasimamisha wagombea nchini Afrika Kusini mwaka huu.Msemaji wa chama hicho cha Equal Rights, Michael Herbst...
View ArticleMOYES ANENA KUHUSU MAN UNITED, ANGALIA ALICHOSEMA HAPA
Man u 1 Stoke 2Meneja wa Manchester United David Moyes anahisi kuwa klabu yake isingekosa bahati hivyo kiasi cha kupata kichapo cha mabao mawili kwa moja dhidi ya Stoke City.Ni mechi yao ya nane...
View ArticleMIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MOHAMMED TRANS YASAFIRISHWA
DodomaMiili ya askari watano wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma waliofariki kwa ajali ya gari juzi,jana iliagwa na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao.Akizungumza na waombolezaji katika ibada ya kuaga...
View Article