Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles