HII NI AIBU ILIYOPITILIZA: MECHI YA YANGA NA MBEYA CITY HIVI KARIBUNI
Tukio la ajabu na la kusikitisha lilitokea katika Uwanja wa Taifa ambapo mashabiki walikojolea masinki badala ya kunawa mikono kama inavyoonekana katika picha. Ieleweke tu kwamba tofauti ya binadamu na...
View ArticleMKUTANO WA MCT NA WAHARIRI TANGA KATIKA PICHA
Katibu Mtendaji wa Baraza La Habari Tanzania, akifungua mkutano wa siku moja uliofanyika katika hoteli ya Tanga Beach Resort, jijini Tanga tarehe 5 February, 2014 Juu: Allan Lawa, Ethics and...
View ArticleKANISA KATOLIKI KUSHTAKIWA MAHAKAMANI, KULIPA FIDIA
Mwanaume mmoja kutoka Poland aliyedhulumiwa kimapenzi na padri mmoja akiwa mdogo ndiye mtu wa kwanza katika taifa hilo kujitokeza na kudai fidia kutoka kwa kanisa katoliki. Mwaka uliopita, Kanisa...
View ArticleANGALIA MSIGWA ALIVYOSHUSHWA KWENYE KARANDINGA MAHAKAMANI
Anasubiri kusomewa mashtaka, nyuma yake ni Mbunge wa Viti Maalum, Chiku AbwaoChini akitoka mahabusu kuelekea mahakamani kusomewa mashtaka yanayomkabiliakiwa chini ya ulinzi mkali, bado alama ya pipoz...
View ArticleSOMA MAJINA YOTE YA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA HAPA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA UTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya...
View ArticleJAMBAZI LILILOSUMBUA TARIME LANASWA TANGA KIULAINI
Tarime. Jambazi kuu anaye tuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyanganyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28,01,2014 amekatwa na jeshi la polisi jioni ya Tarehe...
View ArticleNTAGANDA KUPANDA MAHAKAMA ICC LEO, MJUE NI NANI HUYU
Kesi dhidi ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda, inatarajiwa kuanza hii leo katika mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.Mahakama hiyo inatarajiwa kuamua...
View ArticleSHABIKI WA LIVERPOOL AUAWA, KISA WALISHINDA 5 -1
Mwanamme raia wa Kenya anayeshabikia klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na kufariki dunia na mwenzake wa klabu ya Arsenal eneo la Meru Mashariki mwa Kenya.Kwa mujibu wa polisi wa...
View ArticleJAMANI HALI INAZIDI KUWA MBAYA, HIKI NDO KINACHIENDELEA
Upesi upesi mpiga picha alifanikiwa kupata tukio hili huko Bangui, Afrika ya Kati ambapo mapigano yanaendelea. kama anavyoonekana mmoja wa wanajeshi akishindilia kisu kwa mtu anaedaiwa kuwa ni mmoja wa...
View ArticleTRENI KUSABABISHA MECHI YA LIVERPOOL KUAHIRISHWA
Mechi ya ligi kuu ya Premier kati ya Fulham na Liverpool siku ya Jumatano, huenda ikahairishwa ikiwa mgomo wa wafanyakazi wa treni mjini London utaendelea kama ulivyopangwa.Wafanyakazi hao wa treni...
View ArticleWAUA MTOTO KWA ADHABU YA KUMYWESHA JUIS YA MATUNDA
Wanandoa wameshtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto wa miaka mitano baada ya kumlazimisha kunywa lita mbili za juisi ya zabibu pamoja na maji ikiwa ni adhabu yake.Alex Linboom alikimbizwa na baba yake...
View ArticleMCHUNGAJI ATUBU KWA KUZINI NA MKE WA RAFIKI YAKE
Mhubiri mmoja mkristo nchini Kenya ameomba msamaha kanisani baada ya kupatikana akila uroda na mke wa mwanamume mwingine mjini Nyeri eneo la Kati mwa Kenya.Mhubiri huyo alipangisha chumba katika...
View ArticleSTATE HOUSE STATEMENT ON CLAIMS BY THE SUNDAY MAIL NEWSPAPER
PRESS RELEASEPRESS STATEMENT ON CLAIMS BY THE SUNDAY MAIL NEWSPAPERIn its last weekend edition, The Sunday Mail Newspaper of Britain published an article entitled: “Tanzania slaughters over 11,000...
View Article