UNAMKUMBUKA UFOO SARO? ANGALIA ALICHOKIFANYA LEO
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye alijeruhiwa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, Anthery Mushi, amefanya ibada na kusema: “Namshukuru Mungu kwa kumponya.”Ni mara ya...
View ArticleHII KALI: AFISA ANASWA KWA RUSHWA YA KILO 12 ZA NYAMA
Afisa mifugo na mkaguzi wa nyama katika machinjio ya Mitunduruni, Manispaa ya Singida, Edwin Shangwel Mtae, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida kwa tuhuma ya kupokea rushwa ya...
View ArticleDR. LWAITAMA AZUIWA NA SHIRIKA LA NDEGE LA PRECISION
Precision wamdhalilisha Dr. Azaveli Lwaitama(Pichani Kulia) wamshusha kwenye ndege kisa LughaPrecision wamzalilisha Dr Azaveli Rwaitama mwanza baada ya kumutia polisi ndani ya ndege na kumshitaki kwa...
View ArticleANGALIA ALICHOANDIKA ZITTO, IMEMUUMA SANA HII
HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA KWENYE WALL YAKE YA FACEBOOK "Chuki za kisiasa za kiwango hiki ni hatari sana. Viongozi wakuu kutokukemea mambo kama haya ni ishara ya udhaifu na kukosa busara. Kamwe sitalipa...
View ArticleJOSE MOURINHO : HAUIKUWA RAHISI KUMUACHIA MATA
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinhoamesmea kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya taifa ya Uhispania Juan Mata kujiunga na wapinzani wao katika ligi...
View ArticleTABLET ZAINGIA NCHINI KWAAJILI YA KUFUNDISHIA SEKONDARI
Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru Kawambwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani Dau...
View ArticleJK APOKEA JEZI TOKA KWA MMILIKI WA CHICAGO CUBS
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi ya timu ya baseball ya Chicago Cubs toka kwa mmiliki wa timu hiyo na Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw....
View ArticleMVUTA SIGARA MAARUFU DAUNIANI WA MARLBORO AMEFARIKI
Mtu pekee aliyeweza kuibadilisha na kuinua mafanikio ya sigara duniani haswa sigara maarufu ya Marlboro, Eric Lawson (Pichani kulia) amefariki dunia.Mwanaume aliyekuwa na mvuto, mcheza filamu ambaye...
View ArticleWAZIRI MUHONGO AWEKA SAINI LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI
DSM,Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo(Pichani anaye saini) ameweka saini Leseni tatu za Uchimbaji wa Madini kwa Kampuni zinazotarajia kuzalisha madini aina mbalimbali kulingana na...
View ArticleMCHINA AIPATA FRESH, APIGWA BONGE LA FAINI
Mahakama nchini Kenya imemtoza faini ya shilingi milioni 20 au dola laki mbili na thelathini raia mmoja mchina kwa kuhusika na biashara haramu ya pembe za ndovu.Tang Yong Jian ametozwa faini ya dola...
View ArticleWAZIRI ANAPOKULA CHAKULA KWA MAMA LISHE
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata chakula cha mchana katika mgahawa wa mamalishe alipotembelea Kijiji cha Ilongelo wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida, juzi. PICHA - MPOKI BUKUKU
View ArticleAMUUA MWENZIE KWA KISU, KISA- POMBE,MAPENZI
SongeaJeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma linamshikilia Fikiri Mapunda (32) mkazi wa kitongoji cha Msirikasi kilichopo kijiji cha Malunga kata ya Tingi wilaya ya Nyasa kwa tuhuma za kumchoma kisu shingoni...
View Article