$ 0 0 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata chakula cha mchana katika mgahawa wa mamalishe alipotembelea Kijiji cha Ilongelo wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida, juzi. PICHA - MPOKI BUKUKU