$ 0 0 Kibanda baada ya kutua na kupokelewa na kundi kubwa la waandishi na wahariri wa vyombo mbalimbali akiongea na vyombo mbali mbali. Kibanda alishindwa kujizuia na kutokwa na machozi.