$ 0 0 Wanandoa wakiwa kanisani hivi karibuni mwaka uliopita kwenye kanisa kuu la jimbo Katoliki la Kahama ambako jumla ya ndoa 54 zilifungwa wakati mmoja na paroko Padre Logatus Malulu katika kanisa hilo la Mtakatifu Karoli Rwanga kahama mjini.