UINGEREZA NAYO YAVUNJA MKATABA NA KAMPUNI ILIYOKOSA TENDER YA PASSPORT TANZANIA
PICHA JUU: Muonekanao wa E-Passport zilizotolewa mapema mwaka huu.PICHANI KUSHOTO: Passport ya Uingereza ambayo kampuni ya De La Rue ilikuwa inazitenegeneza kabla ya kufutiwa mkataba wao.Na Mwandishi...
View ArticleTANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUONGEZA TIJA UZALISHAJI MAHINDI MOROGORO
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha...
View ArticleVITA YA BIASHARA YA CHINA NA MAREKANI KULETA MAAFA YA KIUCHUMI DUNIANI
PICHANI : Rais wa Marekani, Donald Trump akiwa amezungukwa na wafanyabiashara pamoja na maafisa wa wa nchi hiyo, akijiandaa kutia saini taarifa itakayopitisha mpango wa kutoza faini bidhaa za China,...
View ArticlePOLISI WAMTANDIKA RISASI 30 WAKIFIKIRI ANATOA SILAHA, KUMBE IPHONE
#PressPlay Footage released shows the moment police in Sacramento shot an unarmed man at his grandmothers house. He was shot over 20 times. #Thoughts? (Swipe Left)A post shared by HOLLYWOOD UNLOCKED...
View ArticleKIONGOZI WA WAYAHUDI AWAITA WATU WEUSI “NYANI” KATIKA IBADA
Na Mwandishi Wa KimataifaImmamatukioKiongozi wa dini Israel (chief rabbi) amezua mzozo kwa kuwaita watu weusi “nyani’ wakati akiendesha ibada ya wiki. katika ibada hiyo, Rabbi Yitzhaj Yosef alitoa...
View ArticleSHINDANO LA KWANZA KUWAHI KUTOKEA ZIMBABWE LA MISS ALBINISIM (PICHA)
Na Mwandishi wa KimataifaImmamatukioZimbabwe imefanya mashindano ya kumpata mlimbwende “Miss Albinisim” yenye lengo la kutokomeza unyanyasaji dhidi ya watu wanye ulemavu wa albinism ambapo washiriki 13...
View ArticleUPDATE: MAWASILIANO YA BARABARA YA ITIGI HADI TABORA YAREJEA
PICHANI : Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa(kulia) na Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Tabora, Mhandisi Damian Ndabalinze (kushoto) wakikagua ukarabati wa...
View ArticleBOLT AIBUKIA UJERUMANI, KUCHEZA SOKA BORUSSIA DORTMUND (ANGALIA PICHA)
Na Mwandishi WetuImmamatukio BlogMshindi wa medali ya dhahabu mara nane katika Olympic, Usain Bolt, ameanza majaribio katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Ujerumani katika klabu ya Borussia Dortmund,...
View ArticleVITUKO : ASHIKILIWA KWA KUMVUTISHA BANGI MTOTO WA MWAKA 1, VIDEO KUSAMBAA...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 20 amekamatwa baada ya kusambaa video katika mtandao wa facebook ikionesha akimlazimisha mwanae wa mwaka mmoja kuvuta bangi. Brianna Ashanti Lofton (pichani) alikamatwa...
View ArticleWAAJIRI WANAWAJIBIKA KISHERIA KUTATHMINI MAJANGA MAHALAPA KAZI KILA MWAKA-WCF
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini, Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi,(WCF), Dkt. Abdulsalaam Omar, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Bw. Masha Mshomba, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina...
View ArticleWARAMI:CHADEMA WASIINGILIE UHURU WA MAHAKAMA
Na Mwandishi WetuWATETEZI wa Rasilimali Wasio na Mipaka(Warami)limesema limesikitishwa na kitendo cha Kamati kuu ya Chadema kuingilia uhuru wa Mahakama baada ya jana kuitisha mkutano kuzungumzia...
View ArticleMHAGAMA: MIRADI YA MWENGE WA UHURU KUKAGULIWA KISAYANSI...OLE WAO MA-DED
PICHANI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama (wa tatu kushoto), akizungumza na kamati mbalimbali za maandalizi ya Mwenge wa Uhuru kitaifa....
View ArticleNCAA YADHAMINI NGORONGORO MARATHON
Mashindano ya Ngorongoro Marathon 2017, ambayo kwa mara ya kwanza yalidhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mamlaka hiyo inadhamini kwa mara ya pili mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa,...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA ATAJA MUAROBAINI WA KUZUIA UCHOMAJI MISITU
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, "Mtoto wa Mkulima" akionyesha furaha yake baada ya kuzindua nembo ya "Malkia wa Ssali" kwenye hoteli ya Morena mjini Dodoma leo Aprili 14, 2018.NA K-VIS BLOG/KHALFAN...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA KUTEKELEZA BORA SHERIA YA FIDIA KWA...
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, DODOMASERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani...
View ArticleVERTIV YAJA NA VIFAA VYA KISASA VYA KUKABILIANA NA MAJANGA YA UMEME
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Vertiv imefanya maboresho ya vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) vinavyotumika katika ujenzi, viwandani na maofisini kwa lengo la...
View ArticleMNEC: WAZAZI, UHURU KWA WATOTO UWE NA MIPAKA
PICHANI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mohamed Salim (RATCO) Mkoa wa Tanga, akizungumza kwenye Kongamano la Maadili lililoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho na...
View ArticleMJI WA KOROGWE NA JITIHADA ZA KUPATA MANISPAA
Wakuu wa Idara wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ambao walitembelea Stendi ya Mabasi Korogwe na Soko la Kimataifa kwenye Halmashauri ya Mji Korogwe. Nia ya ziara hiyo ni kujifunza, kwani...
View ArticleKIGWANGALA ATUMIA NGORONGORO MARATHON KUWATUMIA SALAMU MAJANGILI
PICHANI: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala (fulana nyekundu) akiwa na uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) pamoja na baadhi ya washiriki wa mbio za Ngorongoro Marathon...
View Article