Quantcast
Channel: Matukio
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

VIDEO : MDAHALO WA KUMPATA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV

$
0
0
Huu ni Mdahalo wa Sehemu ya kwanza kati ya mbili zijazo, wa kugombania kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3497

Trending Articles