Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAHIDI WATAALAMU KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI SINGIDA

PICHANI: Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angelina Mabula akizungumza na wananchi wa kijiji cha Singa tarafa ya Kinampundu Wilayani Mkalama, Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHARIBIFU MIUNDOMBINU, TANESCO YAINGIA HASARA YA MAMILIONI

Na Mwandishi Wetu, Songea UHARIBIFU wa miundombinu ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO), unaofanywa na baadhi ya watu mkoani Ruvuma, husababisha shirika hilo kuingia hasara ya mamilioni ya fedha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJOR LAZER NA DJ MAPHORISA, NASTY C, PATORANKING NA JIDENNA WAJA NA PARTICULA

Kundi la watayarishaji wa muziki na Madj maarufu wa Marekani, Major Lazer limeachia video ya wimbo wao “Particula” iliyofanyika katika jiji la Johannesburg, Afrika Kusini na kuongozwa na mtayarishaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMEME KUINUFAISHA AVIV, MWEKEZAJI SHMABA LA KAHAWA RUVUMA

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma UONGOZI wa shamba la kahawa la Aviv lililopo Songea, mkoani Ruvuma, umesema upo mbioni kupunguza gharama za uzalishaji zao hilo baada ya kukamilika mradi mkubwa wa umeme 220...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIVO ATOA MAONI YAKE KUHUSU WASANII WACHANGA

Msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’ amefungukia yake kutoka moyoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI YA KUWAPIMA MACHO WAKAZI WOTE WA SINGIDA KUANZISHWA

PICHANI: Daktari wa macho akimfanyia uchunguzi wa macho mmoja kati ya wagonjwa waliojitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Afya ya Macho Mkoani Singida.Na Mwandishi Wetu, SingidaMkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATAJI MITI NA UCHOMAJI MISTU NI TATIZO MKOANI GEITA

PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa inafanyikia Mkoani Humo akizungumza na wananchi kwenye viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRINCE AGHA KHAN AZINDUA STEMPU ZA POSTA ZENYE KUMBUKUMBU ZA TAASISI YAKE

Kiongozi Mkuu wa Dhehebu la Shia Ismailia, Prince Agha Khan (kulia), akiangalia picha za stempu zenye kumbukumbu ya Taasisi yake wakati alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA SINGELI MICHANO MWANZA APATIKANA

Watanzania hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 18 tangu kufariki dunia kwa mwasisi wa taifa la Tanzania, Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14,1999 akiwa nchini Uingereza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA KUFANYIKA KESHO

PICHANI: Kulia ni Katibu wa TASWA mkoa wa Arusha, Mussa Juma katikati ni Mwenyekiti wa TASWA Arusha, Jamila Omar akioongea na waandishi wa habari Na Woinde Shizza,ArushaTamasha la waandishi wa habari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA LAFANA MKOANI GEITA

PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akizungumza wakati wa kongamano katika maadhimisho ya siku ya Chakula ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani Geita.Na Mathias Canal,...

View Article

TANESCO WAKESHA USIKU NA MCHANA KUTATUA TATIZO LA UMEME MTWARA - LINDI

Na Mwandishi Wetu, MtwaraTATIZO la kukatika kwa umeme kwenye mikoa ya Mtwara-Lindi, linatokana na hitilafu iliyojitokeza katika mitambo minne kati ya tisa inayotumika kufua umeme kwenye kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SINGIDA YAMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU

PICHANI: Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akikata utepe kama ishara ya kuzindua bweni la Sekondari ya Mtinko iliyoko wilayani Singida kama sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya baba wa Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MECHI KATI YA EFM SPORT NA MWANZA VETERANS, NI MAGOLI MENGI TU

Ni kwenye mchezo wa kirafiki baina ya EFM Vs Mwanza Veterans!BMG

View Article

SERIKALI KUONGEZA UFUAJI UMEME MTWARA

Na Mwandishi Wetu, Mtwara SERIKALI kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO), iko mbioni kununua jenereta mbili zenye uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati nne (4MW), ili kwenda sambamba na ongezeko la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO KUTUMIA WATALAMU WAKE KUJENGA VITUO NA NJIA ZA KUSAFIRISHA UMEME

 NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, LindiKATIKA kutekeleza dhana ya kujenga uzalendo na kubana matumizi, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kupitia kampuni yake tanzu ya ETDCO, limeanza kutumia wataalamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO LA UMEME MTWARA NA LINDI KUPATIWA UFUMBUZI NDANI YA SIKU 10

NA K-VIS BLOG/MtwaraSerikali imewaomba wananchi wa mikoa ya Mtwara na Lindi kuwa na subira, katika kipind hiki ambapo upatikanaji wa umeme kwenye mikoa hiyo umeathirika baada ya mashine 5 kati ya 9 za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PBZ YAKABIDHI HUNDI YA MILIONI 50 KWA MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAKUTANA JIJINI MWANZA KUJADILI CHANGAMOTO ZA UCHUMI

PICHANI: Makamu wa Rais wa TCCIA, Joseph Kahungwa akizungumza kwenye majadiliano hayo. Binagi Media GroupMafunzo ya majadiliano yaliyoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo TCCIA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOSAMAGANGA ALUMNI WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA TOSAMAGANGA

PICHANI: Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga Alumni Association wakiwa wanajadili kitu...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live