HIZI NDIO MECHI KUBWA ZA WATANI WA JADI BARANI AFRIKA
Na Jumia Travel TanzaniaMiongoni mwa matukio yanayosisimua zaidi kwenye mchezo wa soka ni mipambano ya watani wa jadi. Katika nchi nyingi barani Afrika ukiwauliza kwa harakaharaka mashabiki wengi wa...
View ArticleDKT. MWINUKA AWAPONGEZA WAHANDISI WANAWAKE TANESCO
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka, (kushoto), akipokea kikombe (tuzo), kutoka kwa Mwakilishi wa Wahandisi wanawake kutoka Shirika hilo, Mhandisi...
View ArticleTANROADS TABORA KUTEKELEZA AGIZO LA JPM UJENZI WA BARABARA ZILIBAKI
Na Tiganya Vincent RS-TABORA WAKALA wa Barabara nchini (TANROADS) mkoani Tabora imesama kuwa tayari imeshaanza kutekeza hatua mbalimbali za maandalizi ya ujenzi wa barabara ambazo Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleRC TABORA ATAKA MAELEZO ALIYECHOMA MOTO CHUO CHA ARDH
Na Tiganya VincentRS-TABORA SERIKALI Mkoa wa Tabora imeagiza kutafutwa na kuchukiwa hatua kali na kupata maelezo ya watu waliohusika na uchomaji moto katika maeneo ya Chuo cha Ardhi Tabora na...
View ArticleTAMKO KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA YA ASILI YA MWAFRIKA
TAMKO LA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA YA ASILI YA MWAFRIKA Ndugu wananchi, Maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili ya Mwafrika yalianza rasmi...
View ArticleDR.MABODI: ATAKA MIRADI YA MAJIMBONI IWANUFAISHE WANANCHI
Kulia ni Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi akimkabidhi vifaa mkulima Trekta ndogo ya mkono (Power tillers) aliyevaa fulana ya rangi ya njano na kofia na wa kwanza kulia ni...
View ArticleRIPOTI SAUTI ZA WANANCHI: KUHUSU HUDUMA ZA AFYA NCHINI
Wananchi wengi wanatumia vituo vya afya vya serikali na husubiri chini ya saa moja kumuona daktari Wakati huo huo, wananchi 7 kati ya 10 wanasema changamoto ipo katika upatikaji wa dawa na vifaa tiba...
View ArticleASKARI WANAWAKE JKT MGULANI WASAFISHA WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA RUFAA YA...
PICHANI: Mkuu wa Idara ya wanawake Wanajeshi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kikosi 831 KJ Mgulani (Matron wa Kikosi), Kapteni Lamla Balama baada ya kuzungumza na wanahabari Dar es Salaam leo kuhusu...
View ArticleVIJANA WA JKT WACHANGIA DAMU NA KUFANYA USAFI
Takataka zikiondolewa.Na Dotto MwaibaleASKARI wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kikosi namba 831 KJ Mgulani, wamejitolea kuchangia damu pamoja na kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya Hospitali ya...
View ArticleWASANII NGULI NCHINI KUPIMANA MABAVU DIMBA CONCERT TRAVELNTINE MAGOMENI
PICHANI: Meneja Tukio wa Tamasha la Dimba Concert , Mwani Nyangasa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Tamasha litakalo wakutanisha Wakongwe wa Muziki wa Dansi nchini na bendi ya Msondo Ngoma...
View ArticleTMA YAWAJENGEA UWEZO WANAHABARI KUHUSU HABARI ZA HALI YA HEWA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dk Agnes Kijazi (kulia) akizungumza alipokuwa akifungua semina ya kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu ya uandishi...
View ArticleNIC BANK YAKABIDHI MAGARI MATATU KATI YA SITA KWA MTEJA WAKE KAMA MKOPO
Meneja mahusiano kwa wateja wakubwa wa benki ya NIC Tanzania, Woinde Murro(kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja waliofika kwaajili ya kukabidhiwa magari makubwa ikiwa awamu ya kwanza ya mkopo wa...
View ArticleMAMIA WAMIMINIKA KUJISAJILI MFUKO WA FIDIA (WCF)
Meneja Matekelezo Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Bw.Victor Luvena, (kulia), akiwahudumia waajiri waliofika kujisajili na kulipa michango leo Agosti 31, 2017. NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMUITIKIO wa...
View ArticleSABABU YA EID-AL-ADHA KUITWA 'SIKUKUU YA KUCHINJA'
Na Jumia Travel TanzaniaEid al-Adha ni miongoni mwa sikukuu kubwa kwa waumini wa dini ya Kiislamu ukiachana na Eid- al-Fitr inayosherehekewa kila mwaka duniani kote. Kwa mwaka huu sikukuu hii...
View ArticleUJUMBE WA CPC WAKUTANA NA MANGULA CHUO KIKUU CHA SIASA CHA MWALIMU NYERERE,...
Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya...
View ArticlePOLEPOLE: TUPO TAYARI KWA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LONGIDO
Katibu Wa Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
View ArticleRAIS AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA ULINZI NA USALAMA WA SASA NA WASTAAFU IKULU,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika chumba cha mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini...
View ArticleNG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM
Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Idi ambayo husherehekewa kwa...
View ArticleSHAKA AZUNGUMZIA MAENDELEO YA UCHAGUZI WA NDANI WA UVCCM
Ndugu Waandishi wa habari; Kwa mara nyingine tena tunawakaribisha kwa mikono miwili katika mkutano huu muhimu. Karibuni sana huku nikiwaomba mjione mko huru na mko nyumbani .Dhana ya Demokrasia ni...
View ArticleSHAKHA ASEMA ATAVUMILIA WALA RUSHWA NDANI YA UVCCM
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shakha Hamdu Shakha akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akiotoa taharifa ya mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) na...
View Article