Quantcast
Channel: Matukio
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AWATULIZA MADEREVA DALADALA WA SIMU 2000

 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ,Kisare Makoli akielekea  kwenye kituo cha daladala cha simu 2000 mara baada ya madereva wa Daladala kupinga tozo ya shilingi 1000 kama Ushuru wa magari ambapo awali walikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI

 Meneja Mkuu wa Efm Radio na Tv E , Denis Busulwa (SEBO), Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Tamasha Mziki Mnene litakalo fanyika katika mikoa sita nchini  Sanjari na Kampeni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHANI MAALUMU YA KUPAMBANA NA KILIMO CHA BANGI, WATANO MBARONI MVOMERO …...

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe (aliyeshika dumu) akimimina mafuta ili kuchoma lundo la bangi iliyokuwa imeng’olewa Augosti 19, 2017 na kikosi kazi maalumu katika moja ya mashamba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA IS THE BEST SAFARI COUNTRY 2017

THE NETHERLANDS – SafariBookings.com has conducted an in-depth analysis of reviews from safari tourists and acclaimed Africa experts to determine the continent’s best country for safaris. And the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE, (UCSAF), NA MAKAMPUNI YA SIMU WASAINI MKATABA...

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa(katikati), akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBER YAZINDUA HUDUMA YA MADEREVA NA WASAFIRI KUCHATI KWA KUTUMIA PROGRAMU HIYO

Dar es Salaam Tarehe 21 Agosti 2017…Kampuni ya Uber nchini Tanzania imetangaza zana mpya maarufu kama “Kuchati Ndani ya Programu” inayowawezesha madereva na wasafiri kuandikiana ujumbe kwa kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI ZAWADI ZA WACHEZAJI BORA NDONDO CUP

 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani  Kikwete akizungumza na familia ya Wanamichezo wakati wautoaji wa Tunzo za Mchezaji borawa michuano ya Ndondo Cup inayoandaliw ana kampuni ya CloudsMedia Group kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI "B"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ufunguzi wa jengo la madarasa 3 mapya katika Skuli ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KALEMANI AITAKA TANESCO KUUNGANISHA NGUVU KUKAMILISHA MIRADI YA UMEME YA...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidNAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani,(pichani anayeongea), amelitaka Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuunganisha nguvu ili kuhakikisha wanakamilisha mradi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA MZUKA JACKPOT AKABIDHIWA MILIONI 80 DAR ES SALAAM LEO

PICHANI: Balozi wa Mchezo wa Bahati Nasibu wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein (kulia), akimkabidhi mfano wa hundi ya thamani ya shilingi milioni 80 Mshimdi Mkuu wa Mchezo huo, Rashid Ally katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL YATOA MAGARI MAWILI YA SHILINGI MILIONI 100

PICHANI: Meneja Masoko Mkoa wa Mwanza wa kampuni ya bia ya Serengeti Patrick Kisaka(kushoto) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa usambazaji bora wa vinywaji vya kampuni hiyi Mkurugenzi wa kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI 5 ZA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akiwa katika mazungumzo na Mabalozi wa nchi tano za Ukombozi Kusini mwa Afrika, wanaoziwakilisha nchini zao hapa nchini, alipokutana nao katika Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU KAMISHNA MKUU WA TAKUKURU IKULU DAR ES SALAAM

 Brigedia Jenerali John Julius Mbungo aliyeapishwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA SH BILIONI 200 KUWANUFAISHA VIJANA NCHINI

Filbert Rweyemamu,ArushaBenki ya Dunia imetoa Sh 200 Milioni ili kuwezesha miradi ya elimu na ujuzi kwa ajili ya kazi zinazoleta uzalishaji wenye tija pamoja na vituo viwili vya umahiri vya kikanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOLA MILIONI 9.5 KUTATUA TATIZO LA MAJI MJI MDOGO WA ILULA

 Mkuu wa wilaya ya kilolo Asia Abdallah akiwa sambamba na mkuu wa mkoa wa iringa wakizungumza na waandishi wa habari katika eneo la chanzo cha mradi huu wa maji katika mji mdogo waIlula Mkuu wa mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MZEE WASIRA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Stephen Wasira leo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 Awamu ya Pili

TAARIFA KWA UMMAOfisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwajulisha wananchi juu Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017. Wanafunzi hawa wataanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMBO LINGINE KUBWA LITAKALO KUWEPO KWENYE TAMASHA LA JINSIA MWAKA HUU

TGNP Mtandao katika kutambua nafasi ya wanajamii imetoa nafasi maalum kwa  watu waliofanya mambo makubwa kwenye jamii yao na mchango wao haukutambulika, hivyo watapewa nafasi ya kuadithia simulizi zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Sita (6) Mazito waliyoibua LHRC Leo,Sakata la Lissu,Bomoa Bomoa...

Katika kuisimamia na kulinda haki za binadamu nchini Tanzania Kituo cha sheria na hakiza binadamu Tanzania LHRC, Leo wameibuka na kukemea mambo kadhaa yanayoendelea nchini kwa sasa huku wakiitaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRIGEDIA JENERALI MBUNGU AWATAKA ASKARI WA SUMA JKT GUARD KUWA MABALOZI...

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akizungumza na askari wa ulinzi binafsi wa kampuni ya Suma JKT wakati alipokuwa akifunga mafunzo...

View Article
Browsing all 3497 articles
Browse latest View live