BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali...
View ArticleSINGELI MICHANO YA EFM YAITEKA TABATA
 Msanii Chipukizi wa Muziki wa Singeli nchini akionyesha umahiri wake wa kuimba katika jukwaa la Singeli michano linaloendeshwa na programu ya Mziki mnene na Nje ndani ya Efm Radio  Mashabiki wa...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR AFUNGUA MKUTANO WA 34 WA ESAAMLG
Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akifungua Mkutano wa 34 wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika (17th ESAAMLG Council of Ministers and 34th Task Force Senior Officials...
View ArticleMHE UMMY AZINDUA VITAMBULISHO VYA TIBA KWA WAZEE UBUNGO
PICHANI: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy A. Mwalimu akizungumza wakati wa uzindua wa Ugawaji wa vitambulisho vya matibabu Bure kwa Wazee katika Halmashauri ya...
View ArticleSERIKALI KUANZISHA TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI
Mkurugenzi wa Barabara toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi John Ngowi akielezea jambo wakati wa kongamano la pili la majadiliano kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya...
View ArticleUTUMISHI: TUVAE MAVAZI YENYE STAHA TUNAPOFUATA HUDUMA MBALIMBALI KATIKA OFISI...
Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto) akishiriki mjadala kuhusu masuala ya maadili, hususan mavazi kwa watumishi wa umma na...
View ArticleRITTA KABATI AIPONGEZA NURU FM RADIO KUANZISHA MASHINDANO YA MAMA MSOSI
PICHANI:Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akiongea wakati wa kutambulisha shindano la mama msosi linalolaratibiwa na kituo cha radio Nuru FM 93.5...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MKUTANO WA NANE WA BUNGE
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUANZA KWA MKUTANO WANANE WA BUNGE __________ Mkutano wa Nane wa Bunge unatarajiwa kuanza kesho Jumanne tarehe 5 Septemba, 2017 na kumalizika tarehe 15 Septemba 2017 Mjini...
View ArticleMBUNGE AKEMEA WANAFUNZI KUMWAGIA UPUPU WAALIMU
Na Rose Itono,MkurangaMBUNGE wa Jimbo la Mkuranga Mkoa wa Pwani amelaani vikali tabia ya utovu wa nidhamu iliyooneshwa na wanafunzi wa shule ya Msingi Malela kwa kuwamwagia upupu ofisi za walimu wao na...
View ArticleTANESCO YAKABIDHI NYUMBA 2 ZA WALIMU SEKONDARI MTERA
PICHANI: Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mhe.Jabir Shekimweri, (kushoto), akifungua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua nyumba mpya ya Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Mtera DAM, iliyoko...
View ArticleJOE FALTER ACHAGULIWA KUWA OFISA MTENDAJI MKUU WA JUMIA TRAVEL
Na Mwandishi WetuKAMPUNI inayojishughulisha na huduma za hoteli na tiketi za ndege kwa njia ya mtandao barani Afrika, Jumia Travel imemtangaza Bw. Joe Falter (pichani) kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu mpya...
View ArticleKIWANDA KIKUBWA CHA KUCHINJA NA KUSINDIKA NYAMA CHAZINDULIWA MOROGORO (PICHA)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Pensheni la LAPF (LAPF Pension Fund), Eliudi Sanga, akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kuhusu uwekezaji mkubwa na ubia wa LAPF na Nguru Hills Ranch, wakati wa...
View ArticleKAIRUKI HOSPITALI YAZINDUA KITENDO CHA KUCHUJA DAMU KWA WENYE MATATIZO YA FIGO
PICHANI: Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHJF), Anne Makinda (katikati), akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Kairuki Hospitali, Kokushubila Kairuki (kushoto), wakati wa uzinduzi...
View ArticleMKURUGENZI UBUNGO ATOA MSADDA WA VITABU SEKONDARI YA MUGABE
Mkuu wa shule ya Sekondary Mugabe Madam Kayumbu akikabidhiwa vitabu hivyo na afisa elimu Neema Maghembe mara baada ya kukabidhiwa na mkurugenzi wa manispaa ya ubungo ndugu John Lipesi Kayombo. Msaada...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MKUTANO WA KUPIGA VITA FEDHA HARAMU NA UGAIDI
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mohmoud akiwa na Waziri wa Fedha wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip I Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum...
View ArticlePOLEPOLE AFURAHISHWA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI PSPF
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi fomu za kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), na vipeperushi mbalimbali vyenye taarifa za...
View ArticleGROUP LA WHATSAPP LA AFYA YANGU LATOA MSAADA KWA WAJAWAZITO KIBAHA
PICHANI: Msimamizi Mkuu wa Kundi la WhatsAPP la AFYA YANGU, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Kijamii wa Habarika 24, Shabani Lulale (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Kibaha Vijijini,...
View ArticleMJI MKONGWE ZANZIBAR: DUNIA YA KALE INAPOKUTANA NA YA KISASA
Na Jumia Travel TanzaniaMiongoni mwa majengo yake mengi yakiwa yamejengwa mnamo karne ya 18 na 19, Mji Mkongwe wa Zanzibar bado haujapoteza taswira yake halisi mpaka hivi leo. Na kutokana na muonekano...
View Article